Elections 2010 Watanzania tufungeni mikanda maisha yatakuwa magumu kwa ajili ya Ufisadi wa Kikwete

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,509
2,000
Ufisadi uliokithiri kwenye serikali ya CCM ambayo inaongozwa na mmoja wa mafisadi waliotajwa na Dr.Slaa, huyo si mwengine ila bali ni Kikwete. Watanzania tusitegemee kabisa kuwa bei za bidhaa na vitu vingine kushuka. Kwa serikali iliyopo na inayokuja ni ya watu wachache na haijali wananchi. Ufisadi utakithiri kuliko ulivyokuwa, tujihurumieni maana manyanyaso na uonevu unarudi tena tena kwa kishindo pamoja na ufisadi. Mungu ibariki Tanzania na waangamize mafisadi hata kama ni viongozi waaaaaangamize maana ni maadui wa maendeleo ya Nchi na Mtanzania.:peep:
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,478
2,000
Lazima tutie akili kwa miaka mitano.
Mijihera iliyotumika wakati wa kampeni lazima tutailipa indirectly
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom