Elections 2010 Watanzania tufunge mikanda kwa miaka 5 ijayo

kipisi

Member
Nov 5, 2010
39
56
Elimu ya bure, kupunguza ukubwa wa sirikali, kuangalia upya mikataba, mabadiliko ya katiba, matibabu bure , yote hayo tumeyakataa
 
Watz wamekataa mabadiliko!? Hapana, watz walishaamua mabadiliko ila ccm wamepora ndiyo maana tunataka kufanya maandamano jumamosi
 
Back
Top Bottom