Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kuna mambo matatu kwenye hili toka nilipo liona juzi!!

1. Nikweli mzee aliumwa sereous, na sasa anaedelea vizuri, na wengine wame exagrate tu mambo mpaka kumsema hayupo duniani

AU

2. Nikweli mzee hatukonaye duniani na inafichwa kutengeneza mazingira sahihi ya watu kuelezwa

3. Mzee yuko salama, mapumziko mafupi baada ya ziara ndefu na anawachora tu wanao sambaza hizi story

Chakufunywa:

Tusubiri muda huwa haudanganyi lolote!! Yatajulikana tu!!
 
Dunia haijawahi acha kuwafunza watu wakaidi ,"asiyefunzwa na ***** kuishi na watu atafunzwa na dunia"Karma is a bitch,apandacho mtu ndicho atakachovuna.Machozi ya wengi Mungu atayafuta.
 
Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?
It's payback time broo...tulikuwa na mshua wetu mkali kinona alikuwa anatudunda kinona kosa akifanya m1 ni kisago kwa wote mpaka bi mkubwa nae anachezea....siku alipokata kamba ilikuwa bigparty na si msiba...
 
Sijaona code yoyote hapo! Watu hawajazuiliwa kufikiri, ila nasema tu kwa namna watu wanavyoruhusiwa kufikiri, Jamiiforums wakipona basi watu waache kulalamika kwani wanaruhusiwa kufikiri na kusema watakavyo
Akiliyo ina unyafuzi!
Yaani mtu atuzuie kufikiri?!
 
Huyu jamaa namkubali kwenye ujenzi. Ila simkubali kwenye kuonea watu asiowapenda.

Bora arudi aondoke 2020 kwa kupumzika kuliko kufa.
Nchi yetu itaharibika ndani ya muda mchache sana maana watu watalipizana visasi na kugombea nafasi zao
Watz halisi hatuna tabia za visasi hizi tabia zinataka kuletwa na wakuja,na watasambaratika kwa njia saba
 
Kuna mambo matatu kwenye hili toka nilipo liona juzi!!

1. Nikweli mzee aliumwa sereous, na sasa anaedelea vizuri, na wengine wame exagrate tu mambo mpaka kumsema hayupo duniani

AU

2. Nikweli mzee hatukonaye duniani na inafichwa kutengeneza mazingira sahihi ya watu kuelezwa

3. Mzee yuko salama, mapumziko mafupi baada ya ziara ndefu na anawachora tu wanao sambaza hizi story

Chakufunywa:

Tusubiri muda huwa haudanganyi lolote!! Yatajulikana tu!!
Hilo la kwanza ndio sahihi
 
Na ikiwa yuko salama itabidi afanye tafakari nzito kwa nini inakuwa hivi kwa watu wake ambao yeye uwaita wanyonge.
 
Hilo la 2 ni 100% true
Kuna mambo matatu kwenye hili toka nilipo liona juzi!!

1. Nikweli mzee aliumwa sereous, na sasa anaedelea vizuri, na wengine wame exagrate tu mambo mpaka kumsema hayupo duniani

AU

2. Nikweli mzee hatukonaye duniani na inafichwa kutengeneza mazingira sahihi ya watu kuelezwa

3. Mzee yuko salama, mapumziko mafupi baada ya ziara ndefu na anawachora tu wanao sambaza hizi story

Chakufunywa:

Tusubiri muda huwa haudanganyi lolote!! Yatajulikana tu!!
20191020_081914.jpeg
 
Lakini mada hii haiko huko, hii inazungumzia MTU anayepata matibabu ya kustahili kupelekwa hospitali ile ya Dodoma!
 
Mafumbo yamezidi
Vitu viwekwe wazi
Kuchunguza hapa kutanisaidia nini?

Hakuna Mafumbo humu , sio kila kitu kinaweza kuwekwa wazi Muda huo huo kinapo tokea.Jipe Muda wa kupitia Comment za Watu huku pia elewa Mada inazungumzia nini pita humo humo。
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom