Watanzania tubadilike

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Wakati umefika kwa wananchi kupembua kwa kina matukio na mienendo ya viongozi wetu. Hali ni mbaya si kwenye sehemu za kuabudia,mitaani hata kwenye mikutano. Viongozi wetu wamekuwa watoa maatamko kinzani na yasiyo na tija.

Poleni sana wale wote waliojeruhiwa kimwili katika matukio ya jana arusha na mbeya ila sijawasahau waliojeruhiwa kifikra n.k

EE MWENYEZI MUNGU WASIKIE WALE WANAOKUITA NA KUHITAJI MSAADA WAKO. TUNAOMBA ULINZI WAKO KATIKA NCHI YETU YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom