Watanzania tuamue tunataka Rais Dikteta au dhaifu

Pascal Mayalla,
Hivi ni kweli kwamba eneo lililokumbwa na njaa itokanao na ukame wa muda mrefu litaneemeka likikumbwa na mafuriko ya El Nino na Tsunami?

Tunafahamu kuwa ukame ni ukosefu wa maji wa muda mrefu, na mafuriko husababishwa na maji mengi. Sasa je, hao waliokuwa hawana maji miaka na miaka, sasa wakipata maji in form of mafuriko wataita hiyo neema au balaa jingine?

Penye ukame watu hawapandi wala kuvuna kwa kuwa maji ni muhimu sana. Je penye mafuriko watu watapanda na kuvuna?
Je penye mafuriko, hyumba za wale wachovu wenye njaa zitabaki zimesimama?
Vipi wale watoto walegevu, hawatasombwa na maji kweli?
na magonjwa ya milipuko yatawaacha watu kweli mafuriko yakijiri?

Kama wewe ndiye mwenye mamlaka ya kuwaletea neema hao viumbe waliokumbwa na ukame miaka mingi, je utawaletea mafuriko (maji mengi) ili kufidia ukosefu wao wa maji wa miaka mingi?

Au utawaletea maji yaliyo sawa na mahitaji yao ili wapate kunywa, kufua, kulima, kupanda na kuvuna?
Mkuu
Utotole
hii falsafa ulioitumia hapa ni ya kiwango cha juu kuliko level yangu. Nimetoka kapa!.

Paskali
 
Tunataka Rais atakaefanya kz kwa jisi atakavyo maana wa TZ hatuna mwelekeo wengine bora jua wengine bora mvua, hivyo akiamua kukandamiza mvua akandamize2 akiamua jua napo poa2 binadam wana roho7. JPM komaa hivyo hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Tangu tupate Uhuru,wafuatao waliitwa marais madikteta Tz:Nyerere,Mkapa na sasa Magufuli.Marais wafuatao waliitwa Marais dhaifu:Mwinyi na Kikwete.Watanzania wamekuwa na kawaida sasa akitoka rais wanayemwita dikteta anayefuata ni yule wanayemwita dhaifu.Kila anayeondoka Watanzania humtukana aidha kwa udikteta wake au udhaifu wake.Nyerere walimwita "haambiliki" kutokana na kutopenda kuchukua ushauri aliokuwa anapewa.Mwinyi alidhihakiwa na kuitwa "mzee ruksa" kwa kuruhusu kila kitu.Mkapa aliitwa "mbabe na dikteta" kutokana na misimamo yake.Kikwete akaitwa "rais dhaifu" kwa kuruhusu sana demokrasia ifanye kazi.Magufuli sasa anaitwa "dikteta" na kuwa hasikilizi ushauri.Kwa fomula hii,rais atakayefuata atakuwa rais atakayeitwa "rais dhaifu". Akatayefuata baada yake atakuwa dikteta.Lakini wote wataondoka wanatukanwa kwa udikteta wao au udhaifu wao.WATANZANIA TUAMUE,TUNATAKA RAIS DIKTETA AU DHAIFU.

Kwanini swali lako liwe na options za aina mbili tu ya aina ya Rais tunayemuhitaji?? Fanya upanuzi wa hoja yako. Kwani duniani tuna aina mbili tu ya Marais Dikteta na Dhaifu? Dikteta ni nani na Dhaifu ni nani?

Wachangiaji wengi wenye mapenzi na nchi yao Tanzania hatutaki Rais Dikteta wala Dhaifu bali Rais zBora na Mdemokrasia.....
Tangu tupate Uhuru,wafuatao waliitwa marais madikteta Tz:Nyerere,Mkapa na sasa Magufuli.Marais wafuatao waliitwa Marais dhaifu:Mwinyi na Kikwete.Watanzania wamekuwa na kawaida sasa akitoka rais wanayemwita dikteta anayefuata ni yule wanayemwita dhaifu.Kila anayeondoka Watanzania humtukana aidha kwa udikteta wake au udhaifu wake.Nyerere walimwita "haambiliki" kutokana na kutopenda kuchukua ushauri aliokuwa anapewa.Mwinyi alidhihakiwa na kuitwa "mzee ruksa" kwa kuruhusu kila kitu.Mkapa aliitwa "mbabe na dikteta" kutokana na misimamo yake.Kikwete akaitwa "rais dhaifu" kwa kuruhusu sana demokrasia ifanye kazi.Magufuli sasa anaitwa "dikteta" na kuwa hasikilizi ushauri.Kwa fomula hii,rais atakayefuata atakuwa rais atakayeitwa "rais dhaifu". Akatayefuata baada yake atakuwa dikteta.Lakini wote wataondoka wanatukanwa kwa udikteta wao au udhaifu wao.WATANZANIA TUAMUE,TUNATAKA RAIS DIKTETA AU DHAIFU.
 
Hii ni awamu ya tano. Tujiulize kati ya hawa marais watano ni yupi katufaa watanzania? Halafu ndo tuangalie sifa za huyo aliyetufaa ndoa tusema tunataka rais wa namna gani. Mimi naona Magufuli anatufaa kwa sasa ingawa kila rais alitufaa kwa wakati wake.
 
Nafuu kidogo mkapa, japo alijimilikisha mari za Uma na sumai wake, kikwetee ndo zero kabisaa yy alikuwa bingwa wa kusafiri2 nakupiga mzigo na mwanae! JPM ndiye musa anaeongoza wana wa Israel kwenda kanaani.
 
Back
Top Bottom