Watanzania tuamke, tuache mazoea ona tunavyoteseka hatua za mwishoni

Mtoa mada hili neno umelitooa wapi? "ona tunavyoteseka hatua za mwishoni" hizo siku za mwisho unazijua wewe?.

Maandiko yenyewe yamesema hakuna hajuaye siku wala saa. Otherwise umeshindwa kuoanisha neno ona na mada yako.
 
Hapo kwenye paragraph yako namba moja, naona huniambii bali unanifokea. Rejea nilichoongea sina popote nilipokupinga zaidi ya kushukuru kwa kunielimisha kuwa rais hatumii hizi simu zetu za kibiashara, japo hukutaja anatumia zipi, anyway sio hoja sana anatumia zipi. Halafu acha kukamia mpaka unashindwa kuelewa mtu kamaanisha nini.

Paragraph yako namba mbili, hapa naona ndio umekuja na jazba ya wazi, kwanza unapotaka kuchangia acha kupanick maana utapoteza muelekeo. Nakushauri acha upotoshaji tafadhali, vitambulisho vya taifa havifiki 50 million kwani wanaopata hivyo vitambulisho ni above 18, na wao sitegemei wafike 25m hasa ukizingatia uzembe wa NIDA, mazingira ya kijiografia ya nchi, elimu duni ya wananchi nk. Nimekupa mfano kuwa mimi nilijuandikisha miezi 8 nyuma ila mpaka sasa sijapata nakala ya kitambulisho, unasema kitambulisho kina alama maalum na porojo nyingine kama hizo, mbona kuna waliojiandikisha nyuma yangu lakini wamepata hiyo nakala? Au kitambulisho changu kinafungwa choo cha kukaa? Acha kutetea uzembe kwa kichaka cha ubinadamu. Halafu unapochangia mada na kuanza kusema sijui nilikuwa negative kwenye mada fulani, unaonekana juha tu na kuishiwa hoja. Hapa hatuko static, kila mada ina muelekeo wake na kila mtu ana approach yake kwenye mada. Matokeo yake unatembea na hasira za uzi mwingine kisha unakuja kumwaga msongo wako wa mawazo kwenye mada nyingine.

nmeelezea kama mfano tu mzee, yapo mapungufu kweli apa na pale ila sasa sio mpaka yawe mada! mfano apa tunaongelea mada ya usajili laini, tayar una namba fanikisha usajili tatizo lipo wap?
 
Sasa kama zaidi ya mwaka mzima wameshindwa kukamilisha, ingewezekanaje kwa wiki moja ?, nani asiye na akili kati yao, wewe na mimi ?, acha ujinga wewe, tumia akili yako vizuri, cyber crime ?.

bro nimeelezea kwa mifano tuliza wenge! and yes usajili ni muhimu haswa swala la cyber crime, yawezekana unayaskiaga tu kwa wenzako yakikukuta ndo utajifunza umuhimu wake
 
Kiufupi Jiwe Yuki kwenye utekelezaji wa ile ahadi yake ya kutufanya tuishi kama mashetani
 
nmeelezea kama mfano tu mzee, yapo mapungufu kweli apa na pale ila sasa sio mpaka yawe mada! mfano apa tunaongelea mada ya usajili laini, tayar una namba fanikisha usajili tatizo lipo wap?

Hakuna cha mfano, ww ni mtetea uzembe. Tumekubana ndio unapotezea kwa kusema ulisema kwa mfano. Huku ni jukwaani, tuko huru kujadili chochote bila kujali utashi wako. Kwa maneno maraisi ww ni mtupu wa hoja, na huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
 
Unamfananisha rais na wewe kapuku?
Kwa taarifa yako hata sisi tuliosajili mapema bado tulipata usumbufu usio wa kawaida, zoezi hilo kwenye kila eneo lililokuwa linafanyika ndani ya wiki mbili, misururu ilikuwa mirefu kiasi kwamba mtu uliweza hata kupoteza siku 2 bila kufanikiwa. Usimtaje rais hapa maana hata yeye alichelewa kujiandikisha, na kama alitaka ajue madhara ya kuchelewa kujiandikisha au hata adha ya zoezi zima, na yeye angefika apange mstari. Kwa ujumla hilo zoezi linaendeshwa kijima mno. Mbona baada ya kupata kitambulisho au namba, huko kwenye makampuni ya simu hakuna huo usumbufu wa kijima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufafanuzi makini sana ,hongera zako
Magufuli hakusajili sku ile,magufuli hatumii laini za 32K na hakuna raisi anazitumia izo ni za wananchi! wala magufuli hatumii mitandao ya simu za biashara anaweza kufanya ivo tu kama anataka kujihakikishia kitu flan kwenye hio mitandao! kiukwel

hakuna sehem hakuna changamoto, hata mm nlipata changamoto wkati wa kusajili ila baada ya kupewa muongozo wa apa na pale nlifanikisha, imefika mpaka hatua watu wa usajili wanawafuata watu mitaani kuwasajili watu, sasa ikifungwa ni halali kabisa, siku nlienda kupata namba yangu ya NIDA nlienda na dogo mmoja ambae ndo kaingiza 18 mwaka jana na alipewa fomu kajaza mwezi uliisha alikuja na akapata namba,na akasajili laini yake! kiukwel tumezidi kupuuzia mambo, kwa mtu anaeona umuhimu wa mawasiliano angekua ashamaliza kabla ata ile awamu ya kwanza kuisha, hata kama taarifa zako hazikuonekana ungepewa fomu mpya ujaze, na ungezirudisha mwishowe ungepata namba yako na ungesajili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi kile Laurence Masha akiwa waziri wa internal affairs walitaka kutupiga ,wakijichangaya wao kwa wao,toka kipindi hicho kuna shida 10%
Ok kuwa Magufuli hatumii line hizi za simu za kawia kwangu ni elimu mpya, nashukuru kwa elimu hiyo maana sikuwa na ufahamu wa hilo. Je siku ile alienda kufuata nini na kusema amesajili line yake, au ndio mambo ya kutia hamasa na kuongeza msisitizo?

Ni kweli hakuna sehemu hakuna changamoto, ila hivi vitambulisho vya NIDA sio changamoto tena bali ni uzembe wa hali ya juu. Hayo mambo ya NIDA tumeanza kuyasikia miaka minne nyuma toka enzi za akina Mwaimu. Muda wote huo ni changamoto? Wengi wetu mpaka tunayozungumza hatuna nakala halisi za hivyo vitambulisho zaidi ya namba tulizopata mitandaoni. Yote hayo ya kutopata hata hizi nakala ni changamoto au uzembe tu kwa kichaka cha changamoto. Mfano halisi mimi nilijisajili mwaka jana mwezi wa nne, mpaka leo sijapata nakala ya kitambulisho, je hiyo ni changamoto tena au uzembe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais ni sehemu ya bunge
Mbona sijaona kitu tofauti na kumsifia huyo Mungu wako!?

Nilipoona hapo kwenye "awamu ya tano" nikakupuuza kabisa. Nimejikaza sana kusoma mpaka mwisho!

NIKUELIMISHE: Mpaka muda huu, Bunge lilipaswa kuwa limetunga sheria za usajili wa laini za simu, na wakati huo huo TCRA kupitia waziri mwenye dhamana, ilipaswa kuwa imetunga kanuni husika.

Hatuwezi kuishi kwa hisani za magufuli. Leo akiamka aseme "zima laini zote"; kesho kutwa akiamka kichwa imekaa sawa aseme "nawapa fadhila ya siku kumi zaidi". HAPANA.

Tunalo bunge na tunavyo vyombo vya udhibiti na utoaji huduma. Swala la usajili wa laini za simu sio matakwa au zawadi za Rais.

Mpaka muda huu najiuliza, magufuli anapata wapi mamlaka ya kutoa hisani za kuongeza muda au kuamrisha laini zifungwe?

Yeye ni sultan au ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tell him
nmekwambia anafanya hivo kama antaka kujiridhisha na kitu flan! magufuli haihitaji kusajili namba yake ya simu na wala hayupo kwenye mitandao ya biashara! elewa nmekwambia sisi tunatumia laini za 32K yeye hatumii izo, kua mwelewa! yawezekana alitaka kujiridhisha zoezi la usajili kama lipo effective akafanya hivo, be authentic na mwelewa!

swali la pili, kila sehema pana changamoto zake! wapo watu walizulumiwa miaka na miaka wakaja kufanikiwa hivi karibuni, ata tungekupa wewe hicho kitengo you would have never done it perfect, kuhudumia watu zaidi ya mil50 sio sawa na huduma zako unazofanya kwa familia yako! vitambulisho vinatafautiana, mfano kitambulisho cha nchi hua na secret patterns, hua na hidden instructions tu! usidhan ni kitambulisho tu kama kitambulisho, hio ni universal unicorn yako! be patient and elewa ni binadam anaendesha shirika sio Mungu, umepewa ruksa kusajili laini kwa namba then do it and endelea with life, tatizoo lako wewe your always negative in everything and always and i know you very well, we have already met into other threads so many times your always negative

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha mfano, ww ni mtetea uzembe. Tumekubana ndio unapotezea kwa kusema ulisema kwa mfano. Huku ni jukwaani, tuko huru kujadili chochote bila kujali utashi wako. Kwa maneno maraisi ww ni mtupu wa hoja, na huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.

mfano laini ya magufuli naijulia wap? mm sio usalama wa taifa unategemea niseme nn zaidi ya mfano? unataka niseme anatumia 100K ama? unataka nisemeje, ni wazi kabisa magufuli hatumii mitandao ya biashara, anachotumia ni alternative gan, thats a big secret! sasa ulitaka niseme nn? afterall zimebaki siku 4 llaini zifungwe, may the process now come to an end, kama hujasajili let it be as it is,nnaweza kuipongeza serikali kwa hii hatua haswa itasaidia upande wa cyber crime! uizi ni universal problem, kama wewe unaona kuna kinachokosewa apa usisajili we mwanaume!

kwa sisi ambao tupo kwenye field ya tech miaka mingi tunaelewa umuhimu wa hili zoezi
 
Back
Top Bottom