Watanzania tuache tamaa tunapokuwa tunauza vitu tulivyotumia

Mkuu Tz sahiv magari second-hand ni Bei che sanaaa yanazidiwa gharama Hadi na bajaj na yapo kweny hali nzuri tu , tuliza kichwa vitu vya bei che vilovyo kwenye hali nzuri vipo vingi

Alaf usilalamikie gharama ya mtu kuuza kitu chake hayo ni makubaliano binafs usiporidhika unaachana nae
 
Mkuu kwani wewe una bei gani, maana usitake kununua gari la mtu kwa bei ya nyanya.
 
Back
Top Bottom