moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,900
- 4,865
Wanabodi,
Nimefatilia mjadala wa CAG akianisha ripoti yake ya mwaka 2019/2020.
Kama tujuavyo ofisi ya Control and Audit General ndo jobholder letu, ndo tumempa dhamana ya kikatiba kutukagua na kuangalia fedha za watanzania.
Kuna hali inatumiwa na wanasiasa chini ya mwamvuli wa CAG,kuna watu greedy' ambao wanatumia nafasi hii kumuonesha The late Rais Magufuli kana kwamba hajafanya kitu in his tenure, kwamba mbona alikuwepo na huu ubadhirifu wa pesa za umma umetokea...!
Hebu watanzania tujadili reality (uhalisia) tuache ushabiki usiofaa wa Ripoti.
Rais ni Mkuu wa Nchi, ndo boss namba moja wa watumishi wote kwenye utumisho wa Umma (Civil Servants),sitaki kujadili vyeo vyake na madaraka yake mengi kikatiba.
Ntajadili Rais katika context ya Mkuu wa Nchi na Boss wa watumishi wote wa Umma.
Leo CAG anatoa Ripoti yake ,well and good,anatoa yote yaliyojiri kwenye mashirika, wizara, taasisi,na ofisi zote za umma.
Tunaambiwa kuna mabilioni yamepitishwa kwenye akaunti ya jeshi la zimamoto.
Mara kuna hasara kwenye shirika la ndege la Air Tanzania, mara wizara ya maliasili imetoa pesa (mamilioni) kwa wasanii wasafi wakatangaze utalii ndani ya mikoa sita tena bila mkataba,cha ajabu lawama zote mnamiminia the late John, is it fair?,John atoke ikulu aende jeshi la zimamoto,aende wizara ya utalii ,aende air Tanzania akague matumizi ya pesa za umma??,kweli??,wasaidizi waliopewa kazi ya kumsaidia haya yote wako wapi?mbona wao hatuwabebeshi huu msalaba wa lawama?
Leo Air Tanzania wanaomba hela za matengenezo ya ndege,wanapewa kiroho safi na seriali waende wakatengeneze ndege, hawaendi kufanya maintance wanakula mamilioni na ndege wanaitelekeza !,bado tunambebesha mzigo John?
Eti wizara ya maliasili ililipa bilion 6.8 kutoka mfuko wa tozo ya maendeleo ya utalii bila ruhusa ya afisa masuhuli na kinyume kabisa na sheria na kanuni ya fedha.
Eti billion 16 hapo hapo kwenye wizara ya utalii zilitumika bila hati ya malipo ,Matumizi mengine ya billion 11 bila kuwa na nyaraka toshelezi.
Million 89 zilitumika na makumbusho ya taifa kwenye matumizi yasiyoendana na shughyli za utalii.
Jamani huku kote bado tunamlaumu the late?
Kwani yeye ndo alikua anaidhinisha haya yote?,yeye ndo alikua huko kwenye halmashauri na majiji na vijiji ,mawizara pamoja na mashirika ya umma? yeye ndo alisaini?
Rais ana wasaidizi ambao wengine wana kazi za kuangalia maofisa wa umma wasifuje pesa za umma....je hao walikuwa wapi???,The late kama binadamu wengine sio malaika hawezi kuwepo kwenye maofisi yote kuangalia kila ofisi inatumiaje pesa za umma.,kwa nn Leo tunambebesha lawama??
Leo waturuki wanafanya kazi kwenye mradi mkubwa kama SGR na tunaambiwa eti almost wafanya kazi 1500 wa mradi husika hawana working permit???kweli???na hapa wasio na aibu bado watatupia lawama zao kwa the late!,kukosa kwao tumepoteza mapato....kuna watu hawakusimamia hili la vibali kwa nn na wao tusiwalaumu??..kwa nn tumlaumu the late?
TANROADS wana deni almost la billion 770 kwa sababu mbalimbali .
TARURA million 125 ,RUWASA billion 12 jamani huku kote tutambebesha the late msalaba wa lawama??? Tujitafakari watanzania...
Eti TANAPA,NCAA,Etc wanafanya madudu bado lawama kwa the late,eti Bodi ya ATCL haina mjumbe hata mmoja mwenye knowledge ya mambo ya anga nayo watamlaumu The late.
Kuna mambo mengi yametajwa kwenye Ripoti ya CAG,lakini tunajua ukweli ni nani na nani walikua watendaji na wengine wako hai kwenye hizo nafasi lakini mbona hatuwabebeshi mzigo??
Kwani waziri wa utalii si yupo?,kwani wakurugenzi ambao mashirika yao yametajwa kwa ubadhirifu si wapo hai???
Idara zilizozembea kumsaidia mhe the late si zipo...??mbona hatuzitaji??...tumetulia tu tunamsema marehemu...!,hio sio fair.
Kuna mengi ambayo naona watanzania wanayajadili..lakini wanashindwa kusema kwamba huyu alikua msimamizi tu.,na ana wasaidizi ambao at one point wamefeli kusimamia matumizi ya hizi pesa na tuko chill tunajifanya hatuwajui wala kuwaongelea.
MUNGU ampe pumziko la milele....
Endeleeni kumteta, ila Mtamkumbuka.
Mods naomba msiufute wala kuunganisha huu uzi.....