Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?
Architect E.M
JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,211
1,360
Ndugu zangu kumetokea ubishi hapa baina ya pande mbili, wengine wanasema ilikua ni njia ya hayati mwalimu nyerere kuweka alama kwa kila mtanzania,, wengine wanasema ni chanjo dhidi ya magonjwa kama tb,,, madocta na wataalamu mlioko humu pliizz tusaidieni hapa, tumekwama
kwani ni watanzania tu wenye chanjo ya ndui mabegani? au wengine wanachanjwa sehemu nyingine?
kwani ni watanzania tu wenye chanjo ya ndui mabegani? au wengine wanachanjwa sehemu nyingine?
Ndio Wakenya wamechanjwa mkononi pembeni ya kiwiko,hii njia imetumika sana kufahamu nani Mbongo nani Mkenya.
Yap hata mimi nina rafiki yangu mjapan wao inakuwa tofauti hadi nilishangaa inakuwa begani lakini chin kidogo inakuwa vidoti doti kama tushimo tudogo tudogo 18 tudogo kama tushimo twa sindano nahisi ni aina ya utambulisho sababu kila nchi ina styly yake katika alama hizo na wala si chanjo kama wanavo dai kwanza huo ugonjwa wa ndui ndo upi na nani kawai ugua??
Kuna mambo ukisikia unaweza kupuuza
but ukisikia tena na tena unajikuta unashangaa
nauliza ni watanzania tu wenye ndui duniani?
Na je ni watanzania wote,waliozaliwa tanzania??????
Kuna mtu kaniambia south africa wakikamatwa wahamiaji haramu
watanzani wanatambuliwa kwa alama ya ndui begani...
Wanawekwa wote kwenye ndege na kurudishwa
hata ukijifanya we mburundi au msudan hawakuachii kama una ndui
mwingine akaniambia polisi wa mipakani wakikukuta huna ndui begani unatuhumiwa kuwa sio raia
mmewahi sikia hili?????????
kwa nini watanzania iwe maarufu
2lifubazwa akili ili tuwe watulivu.
Wakongo,warwanda c mnaona mziki wao.
nimesahau kuhusu malawi... Wazambia nafikiri ni pajani.... Kama sikosei...
umeona
kwa hiyo inawezekana true watu wenye ndui ya mkono wa kulia
dunia nzima ni watanzania tu?????
Pajani????mhhhhh
Back
Top Bottom