Watanzania: Starring Hauawi na Akifa Movie imekwisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania: Starring Hauawi na Akifa Movie imekwisha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAGEUZI KWELI, Oct 20, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Ni kichekesho kuwa Mcheza Sinema ni mwenye mikono mirefuuuuuuu na ana zana nyingi za kumtetea yamkini kama si za uwongo kama James Bond lakini ni lazima amshinde Adui.Inapotokea adui asiye na silaha mwenye maneno tuu japo kuwa anaangamiza miundo mbinu mingi ya starring lakini bado ni lazima Starring ashinde ili aonekana nguvu yake.

  Movie za kiafrika zinazochezwa kati ya mtu mmoja mwenye wafuasi kama adui na upande wa pili serikali kama Sterring na mwisho Serikali inanywea na kujishusha ili wafuasi maadui watulie,Nini raha ya ushindi na msingi mzima wa mchezo wenyewe? Starring Kesho njiani ataogopeka?
  Hii ni sinema ya Live kabisa na labda starring yupo bado katika mwendelezo wa mchezo na labda picha inaendelea PAGE 2.
  Sijui nini kitaendelea yakheeeeeeeeeeee.......zanzibar ni njema atakaye na ajeeee
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Too difficult to comprehend!
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  phuck you, nani aje Zanzibar? Watalii wanakimbia, na Usa na Uk zimetoa angalizo kwa raia wake kuwa ZANZIBAR SI SALAMA
   
 4. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Nchi ya Visasi na Vitisho hatuji tena Ishini wenyewe huko
   
 5. A

  Amos Kiumbe Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mji wa kisenge
   
 6. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha,haaaa jf bana
   
 7. dunia tunapita

  dunia tunapita JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 398
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hata nipewe na hela juu siendi ng'o,,,, nisijearibu fikra zangu mie
   
Loading...