Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Mimi mkuu ntawapigia CDM kura ya huruma, pia ntashawishi nandugu zangu huko kijijini ingawa waliniuliza eti yule alipigwa Lisasi karudi kugombea uraisi, nikawambia ndio wakasema wanamtaka huyohuyo, na watoto wao wasije wakapigwa risasi wanahitaji kiongozi mwenye huruma, alienda watetea watu huko nyamongo waliokuwa wanazikwa huku wakiwa hai.
Kura ni siri ya mtu. Si rahisi kujua kila anachofikiria kila mpiga kura siku ya uchaguzi.
 
Tatizo. Anaweza Pia asfike hata kuwa mgombea. Na CDM wanajua. Shida yao Ni kuleta fujo. Lissu majuzi hakwenda mahakamani. Kesi ya 2017. Sio kwamba alijulikana atagombea ndo kesi imekuja hapana. Kesi ipo. Na unajua sifa za mgombea wa uraisi. So atakatwa na Tume ya uchaguzi. Ili waongee wakijua kabisa wangeshindwa. Ni Fujo tupu.
Hebu ziweke hapa hizo sifa za mgombea urais sio unabwabwaja tu!
 
Msaliti niyule asietaka watanzania tuishi kwa amani, yule aliemfunga Kabendera, akamsamehe Lugola kwa ubadhirifu wa mali za watanzania kisa kamwita Yesu, msalitu niyule alimpoteza Ben Saanane kisa kahoji U Dr. fake, msaliti niyule aliekula pesa za majanga Kagera, msaliti niyule alihonga nyumba za uma kwa mahawara zake, msaliti niyule alimpeleka Sundi nakumpa uofisa wa madini katika wizara ya madini, msaliti niyule aliekwapua tril 1.5, msaliti niyule asietaka watu wasafi Kama Prof Assad katika ofisi za uma, msaliti niyule alienunua vivuko vibovu baada yakuona wanasema sana akavikabidhi jeshini, msaliti niyule anaewaita watoto wawatu vilaza, huku wake akiwa alifeli form six nahaijulikan alifikaje chuo huyo ndio msaliti wa taifa ambae watanzania hatumtaki katika aridhi yetu.
Basi tulia mwanangu, hasira/ uchungu ulionao mobilize vijana kumi tu mkatae manyanyaso hayo ktk sanduku la kura October. Otherwise plan B itumike.
 
Lisu wa Acacia na makinikia ambaye hata ukimuuliza ikulu anaitaka ya nini anaanza kukupigia hadithi za Alfu Lela u Lela watampa kura wasiojitambua
Watanzania wanajua biashara ya makinikia ilikuwa ikifanyika kwa Siri licha ya kuhadaa watu kuwa imepigwa marufuku wasiojitambua watampigia kura anayewabambikia wanyonge kesi kesi, mpoteza mda mwingi na kesi badala ya maendeleo.
 
Tatizo. Anaweza Pia asfike hata kuwa mgombea. Na CDM wanajua. Shida yao Ni kuleta fujo. Lissu majuzi hakwenda mahakamani. Kesi ya 2017. Sio kwamba alijulikana atagombea ndo kesi imekuja hapana. Kesi ipo. Na unajua sifa za mgombea wa uraisi. So atakatwa na Tume ya uchaguzi. Ili waongee wakijua kabisa wangeshindwa. Ni Fujo tupu.
Kesi zenu haramu kesi za kutengeneza kesi za kubambikiwa mungu atasimama imara zote zitakwisha hata makaburu walitesa Mandela wee baadae wakaachia wenyewe,
 
Tatizo. Anaweza Pia asfike hata kuwa mgombea. Na CDM wanajua. Shida yao Ni kuleta fujo. Lissu majuzi hakwenda mahakamani. Kesi ya 2017. Sio kwamba alijulikana atagombea ndo kesi imekuja hapana. Kesi ipo. Na unajua sifa za mgombea wa uraisi. So atakatwa na Tume ya uchaguzi. Ili waongee wakijua kabisa wangeshindwa. Ni Fujo tupu.
Orodhesha hapa hizo sifa za mgombea Urais, ama una bwabwaja tu kama wale WEHU wenzio walioshindwa kujenga choo kule Rufiji eeh?
 
Walikuwepo akina Sadam Hussein, Bokasa, Gadafi, Abacha, Allbashir wa Sudan, chiluba, mabutu, Idd Amina Dada leo hii wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho, fanyeni unyanyasaji wote, wapigeni risasi wabambikieni kesi waporeni ushindi wapinzani lakini ipo siku yatafika mwisho na kuwa kama Malawi sasa Rais wa zamani kaondolewa kinga ya kutoshitakiwa kiama kinamfuata.
 
Ukitaka kujua Tanzania kuna kundi kubwa la wajinga kutana na vijana wa CCM utajua hili Taifa limebarikiwa kuwa na idadi kubwa ya wajinga.
Wewe unayeamini Chadema wamempitisha Lisu kugombea ili wapate huruma sio tu kwamba ni mjinga bali ni mchawi
 
Kesi kesi kesi Yaani Tanzania imekuwa Taifa la kesi kesi kukomoana badala ya maendeleo pesa nyingi za viwanda kujenga vyuo mahospital zinapotelea kwenye kudhoofisha kuihujumu chadema badala ya maendeleo.
 
Ha ha ha ha watetezi wa CCM mitandaoni wote wapo gheto kwa cyprian Musiba wakivuta Bangi ndiyo maana utetezi wao mitandaoni unafanana sana kwani mwalimu wao wa kuwafundisha ujinga ni mmoja akisaidiwa na Le mutuz kubwa jinga zaidi
 
Back
Top Bottom