Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Nani alikudanganya Chadema inataka kura za huruma? Kama mnajiamini kwanini mnagomea uwepo wa tume huru na pia kuogopa kura kuhesabiwa hadharani?

Kutekeleza ndio kufanya kwenyewe,ila tambueni hakuna kura za huruma
 
Mimi mkuu ntawapigia CDM kura ya huruma, pia ntashawishi nandugu zangu huko kijijini ingawa waliniuliza eti yule alipigwa Lisasi karudi kugombea uraisi, nikawambia ndio wakasema wanamtaka huyohuyo, na watoto wao wasije wakapigwa risasi wanahitaji kiongozi mwenye huruma, alienda watetea watu huko nyamongo waliokuwa wanazikwa huku wakiwa hai.
Nyamongo alienda kuwatetea watu alikua kwenye kibarua chake. Tokea lini Tundu Lissu akafanya kitu bure
 
Hakuna anayeweza kuipigia kura ccm
Kijana ukiweka kando ukabila na udini uliotangazwa na gwajima ni nani kati ya wafuatao anaweza kupigia kura ccm?!?!.......zingatia zile factors...(economic, social and political factors)......
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
 
1596510182142.jpeg


Anae msema Rais Wetu Magufuli vibaya ni mpumbavu
 
Nilishasema hili ni ingizo bovu CCM kama usajili wa Yikpe Yanga. Yaani wewe ndo Yikpe wa JF.
Unaona kabisa mtu kapewa kura na Watanzania 405 kwenye kura za maoni halafu unaleta Uzi wa kidwanzi eti Watanzania hawatampa kura!! Hao wajumbe 405 ni Wanyarwanda kama Magufuli?
 
Back
Top Bottom