Watanzania sasa wazidi kuwajua watawala wao, je Chama tawala kinatambua hilo?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Pole ya majukumu ya kila siku Mtanzani Mwenzangu, vipi Umeshapata MAISHA BORA kama walivyokuahidi CCM Mwaka 2005 na 2010? Anayekuuliza si Mwanasiasa Noo! Ni Mwanaharakati!! Hebu jiulize hawa wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe?


  1. Ni -----
  2. Ni Mjinga
  3. Mpumbavu
  4. Mwehu
  5. Mwendawazimu
  6. Una Ubongo wa Kuku yaani Msahaulifu.

Mbona Wenyewe wana Maisha Bora! Kwanini wewe huna au Wenzetu sio Watanzania? Kazi Kwako Mwaka 2015. Nikutakie Tafakari Njema na Kazi njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom