Watanzania saa ya ukombozi ndio sasa

mkweli1961

Senior Member
Nov 9, 2010
148
44
Ndugu zangu Watanzania huu sio wakati wa kulala in wakati wa kuamka na kuikomboa nchi yetu. Nchi inaliwa na wajanja na sisi tunaangalia tunatakiwa tuchukue actions. Hii sio nchi ya kuitwa maskini. Sio lazima tusubiri mwaka 2015. Kwani Tunisia, Misri wananchi waliamua na hatimaye wakafanya kweli. Kila mtu amechoka, Hata hao polisi tunao mitaani nao wamechoka. Yanahitajika mabadiliko ya haraka sana. Tumsaidie Kikwete mzigo unamlemea anahitaji msaada wetu sisi tulio na uchungu na nchi hii. Wana JF MNASEMAJE katika hilo. Naomba kutoa hoja$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$
 
Nakubaliana na wewe mkuu ikiwa watu wa pale magogoni wanapiga sana kunaushahidi naundaa wa vijana wanaofanya kazi pale magogoni na madili wanayocheza na magorofa wanajenga lazima kieleweke nita weka wazi muda si mrefu
 
Bora vita inayo tafuta aki kulilo amani inoyo dhalilisha utu wa mwanadam mtanzania amka mm nshapiga mswaki nakuSUbiri wewe tuliasishe au sio wanaJF
 
Back
Top Bottom