Elections 2010 Watanzania poleni kwa msiba- Mmeyataka!

RMA

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
409
87
Kupanga ni kuchagua. Hakuna haja ya kulaumu tena kwamba maisha ni magumu. Adhabu tumeitaka wenyewe. Kwa hapa Marekani, Chama kinachosababisha umaskini kwa namna yoyote ile, kinanyimwa uongozi wa nchi hata kwa miaka 20. Sasa Tanzania ni kinyume. Haiingii akilini kwa mfano: watu wa Singida ambao vijumba vyao ni mithili ya vichuguu wanampa kura Kikwete! Poleni! Ni miaka mingine mitano ni taabu, mahangaiko, umaskini na huzuni. Hakuna tena kunufaika kwa madini. Ni balaa! Nani wa kulaumiwa? Maana hata kama kura zimeibiwa mbona vyama vya siasa, viongozi wa dini, taasisi mbalimbali hakuna aliyesimama kupinga kwa maandamano? Baadala yake viongozi wa dini wamehudhuria kuapishwa kwa Kikwete. Hakuna nabii miongoni mwao? Siasa tunaifanya kama ushabiki wa Yanga na Simba bila kuangalia uhalisia wa maisha. Tujiandae sasa kwa mfumuko wa bei na ufisadi uliokithiri. Ufukara sasa ndio jadi ya watanzania! Poleni.
 
Unashangaa watu singida je dodoma na lindi na mtwara?wtz wengi bado akiri zimejaa kutu,pongezi wtz wa mza,shy,kgm,ar,manra,mby kwa kuonyesha njia
 
Angalia nature ya makabila.Tangu lini mgogo,mmakonde,mnyiramba anapenda maendeleo?
Dodoma ishukuru tu kwa CDA na millions of pesa ambazo zilikwenda hapo,otherwise hakuna lolote.

Tumeona Mmakonde mwenzangu Mkapa alivyoendeshwa puta na Wachaga!
 
View attachment 16380
Kupanga ni kuchagua. Hakuna haja ya kulaumu tena kwamba maisha ni magumu. Adhabu tumeitaka wenyewe. Kwa hapa Marekani, Chama kinachosababisha umaskini kwa namna yoyote ile, kinanyimwa uongozi wa nchi hata kwa miaka 20. Sasa Tanzania ni kinyume. Haiingii akilini kwa mfano: watu wa Singida ambao vijumba vyao ni mithili ya vichuguu wanampa kura Kikwete! Poleni! Ni miaka mingine mitano ni taabu, mahangaiko, umaskini na huzuni. Hakuna tena kunufaika kwa madini. Ni balaa! Nani wa kulaumiwa? Maana hata kama kura zimeibiwa mbona vyama vya siasa, viongozi wa dini, taasisi mbalimbali hakuna aliyesimama kupinga kwa maandamano? Baadala yake viongozi wa dini wamehudhuria kuapishwa kwa Kikwete. Hakuna nabii miongoni mwao? Siasa tunaifanya kama ushabiki wa Yanga na Simba bila kuangalia uhalisia wa maisha. Tujiandae sasa kwa mfumuko wa bei na ufisadi uliokithiri. Ufukara sasa ndio jadi ya watanzania! Poleni.

Hawakumchagua, hiyo ni uchakachuaji uliomweka JK madarakani. Fuatilia hii analysis katika attachment hii.
 
Lakini jamani wangefanyaje wakati ufahamu umegandishwa toka enzi ya "zidumu fikra za mwenyekiti?" Hawa ndugu ni maskini wa akili kwanza kabla ya kuwa maskini wa material. CCM ilichofanya ni kuwa-manipulate hata wakawa watumwa kifira. They are the most myopic fellows you have ever seen. Ujinga huu ndio hasa unaokipa ccm ushindi kila wakati. Lakini msijali sana, this is coming to an end. Watu wameshatambua umuhimu wa kuwaelimisha hawa jamaa, na vijana wanakuja kwa kasi, ambao wameshaelimika. Elimu hiii itakapokolea, ccm itaanguka anguko la milele. I can't see the future of ccm.
 
Kupanga ni kuchagua. Hakuna haja ya kulaumu tena kwamba maisha ni magumu. Adhabu tumeitaka wenyewe. Kwa hapa Marekani, Chama kinachosababisha umaskini kwa namna yoyote ile, kinanyimwa uongozi wa nchi hata kwa miaka 20. Sasa Tanzania ni kinyume. Haiingii akilini kwa mfano: watu wa Singida ambao vijumba vyao ni mithili ya vichuguu wanampa kura Kikwete! Poleni! Ni miaka mingine mitano ni taabu, mahangaiko, umaskini na huzuni. Hakuna tena kunufaika kwa madini. Ni balaa! Nani wa kulaumiwa? Maana hata kama kura zimeibiwa mbona vyama vya siasa, viongozi wa dini, taasisi mbalimbali hakuna aliyesimama kupinga kwa maandamano? Baadala yake viongozi wa dini wamehudhuria kuapishwa kwa Kikwete. Hakuna nabii miongoni mwao? Siasa tunaifanya kama ushabiki wa Yanga na Simba bila kuangalia uhalisia wa maisha. Tujiandae sasa kwa mfumuko wa bei na ufisadi uliokithiri. Ufukara sasa ndio jadi ya watanzania! Poleni.
Weee ufanye maandamano!
Hawa jamaa hapa hawachagui pa kupiga!
 
Back
Top Bottom