Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,661
Uchaguzi huu umeisha ,maisha yanaendelea...CCM hawana la kujivunia ...wapinzani wanayo haki ya kujivunia hatua kubwa waliyofikia....itakuwa ni ajabu sana mtu kufananisha mafanikio ya kipindi kingine chochote...mafanikio ya mwaka huu yana mizizi......waliopita jeshi tunasema kuwa .....they lost the battle and not the war....mapambano yanaendelea....popote!..
Leo hii miji yote mikubwa nchi hii imeongoza kwa kuwapa wapinzani kura.........MWANZA,BUKOBA,MUSOMA,SHINYANGA,DAR ES SALAAM,MOSHI,ARUSHA,BABATI,KARATU,MBEYA, ETC......miji ya pwani vile vile imeonesha imani kubwa kwa UPINZANI...
Ndio maana nasema kura za kikwete zinatafsiri ya kiwango cha ujinga ,maradhi na umaskini katika nchi yetu.....wale wote ambao wameshafunguka macho ....wanaokaa maeneo ya miji wameitupa mkono CCM..............SASA WAPINZANI MIAKA HII MITANO KUELEKEA MWAKA 2015.....WEKENI KAMBI VIJIJINI ...HASA MKITUMIA MTAJI WA WABUNGE WENU WALIOTAPAKAA KOTE NCHINI....KUINGIA KWENYE MAENEO YAO YA VIJIJINI KUWEZA KUWAAMSHA........
MADAI YA KUSEMA KUWA VYAMA FULANI NI VYA DINI AU KABLA HAYANA TENA NGUVU KWANI VYAMA HIVI VIMEPATA KURA KOTE NCHINI.......NI DHAHIRI HAKUNA ANAYEWEZA KUSHINDA URAIS KWA KUTEGEMEA KURA ZA DINI AU KABILA LAKE HAPA TANZANIA...KIKWETE KAPEWA KURA NA DINI ZOTE .....KAAMA ILIVYO KWA LIPUMBA,SLAA,DEVETWA,BHATT, NA RUNGWE..!!