Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,836
- 7,492
ni wazi sasa kuwa wale wanaoishabikia CCM ukiacha kina mama waliokosa elimu wapo wanufaika kama watoto na ndugu wa viongozi kama wale wanaoishi upanga wao wanasherekea uhuru,siku ya mapinduzi, kuzaliwa kwa ccm kwa kuandaa keki na vinywaji wao wanaiona Tanzania nchi ya asali na maziwa na wanaimba utukufu wa ccm , hao utawakuta BOT, TANAPA,TRA nk magari yao binafsi yana endera ndogo ya ccm na watoto wao wanaelewa faida ya baba zao kuwa ccm