Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

ni wazi sasa kuwa wale wanaoishabikia CCM ukiacha kina mama waliokosa elimu wapo wanufaika kama watoto na ndugu wa viongozi kama wale wanaoishi upanga wao wanasherekea uhuru,siku ya mapinduzi, kuzaliwa kwa ccm kwa kuandaa keki na vinywaji wao wanaiona Tanzania nchi ya asali na maziwa na wanaimba utukufu wa ccm , hao utawakuta BOT, TANAPA,TRA nk magari yao binafsi yana endera ndogo ya ccm na watoto wao wanaelewa faida ya baba zao kuwa ccm
 
Ignorant katika ubora wake
Benki ya wachimbaji, benki ya boda boda, benki ya kina mama; ambapo ni kwa masharti nafuu jumlisha na elimu bure, afya bure na dawa bure kabisa: serikari ya Lowassa inatarajia ku invest kiasi gani, inalenga kufikia watu wangapi na hizo hela zitatoka wapi?

Mapato ya sasa na unpungufu wa kodi atakazo futa Lowassa unakadiria kufiki kiasi gani na atafidia vipi hayo mapungufu kwenye budget ya taifa; atalipa vipi madeni ya taifa na inawezekana vipi bila ya kuathiri shughuli za serikari.

Usiponipa jibu swali langu ni wazi nani mjinga kati yetu.
 
Huyo hata maisha au mambo yake ni ya mkato lazima ukimfuagilia kuna jamabo kinyume na kanuni na sheria za tanzania yy ameidhinisha kuwa sawa tu yaani kwa maneno rahisi mwizi
 
Kati ya ma ignorant wakubwa Tanzania hawa ni namba moja. Nina kila sababu ya kuipigia kura CCM hata kama tumewachoka kuliko hawa vigeu geu. leo watatuahidi kua wakiingia Ikulu watabadilisha hiki na kile na pia wanaweza kugeuka wasifanye.

View attachment 288645

msigwa.jpg

11817178_944520238938946_141133607570523888_n.jpg

Last edited by a moderator:
Wacha wee!

Kaka msomi wa sheria katika ubora wake wa kuchanganya lugha.

Kama mtu si msomi kama huyu 'kaka msomi' basi huwezi kabisa kushuka lugha kama ashukavyo yeye.

Asipochanganya Kiswahili na ung'eng'e sie wengine tutajuaje sasa kama kasoma sheria UDSM?
Miafrika Ndivyo Tulivyo.....MNT
 
Benki ya wachimbaji, benki ya boda boda, benki ya kina mama; ambapo ni kwa masharti nafuu jumlisha na elimu bure, afya bure na dawa bure kabisa: serikari ya Lowassa inatarajia ku invest kiasi gani, inalenga kufikia watu wangapi na hizo hela zitatoka wapi?

Mapato ya sasa na unpungufu wa kodi atakazo futa Lowassa unakadiria kufiki kiasi gani na atafidia vipi hayo mapungufu kwenye budget ya taifa; atalipa vipi madeni ya taifa na inawezekana vipi bila ya kuathiri shughuli za serikari.

Usiponipa jibu swali langu ni wazi nani mjinga kati yetu.
Sio hayo tu, naomba ongezea na hili..

CPMNLicWoAAfKY7.jpg
 
Last edited by a moderator:
sio lazima kila mtu awaze unavyowaza wewe PASCO,, uyasemayo yanaukweli ndani yake na mengine pia hayana ukweli ila ni ushabiki tu,, hivi nitakuaje sio "ignorant" kama nitamchagua mtu ambaye waliokuwa wanamhubiria ana dhambi kubwa kwa kuwa sehemu ya mshiriki tena kwenye kumi bora ya watu walolitia na wanaolitia hasara taifa hili leo hii tena wanatuambia huyu mtu na wenzie hawana dhambi ila ni mfumo tu... lazima kila mtu awe na misimamo yake isiyoyumba, binafsi siwaamini tena ukawa maana viongozi wake wengi ni waongo na vigeugeu na kwa neno zuri tunawaita wanafiki, kama bado hatujashika dola tunakiuka misingi tuliojiwekea je itakuwaje tukishika dola?? je kwanini basi tusimchague HASHIM RUNGWE wa CHAUMA au MAMA wa ACT na tukamuacha LOWASSA??
tunahitaji mabadiriko yenye shibe na future tunayoiona na si bora mabadiriko eti kwa kuwa tumeichoka CCM, lazima tuishi na misingi tunayoisimamia na kuiheshimu...

UKIWA KAMA MSOMI "PASCO" BILA SHAKA UNAWAJUA WANAUKOMBOZI/WANAMAPINDUZI WALIKUWA WATU WANAMNA GANI, SIAMINI KAMA MSOMI MZURI UKATETEA SIASA ZA UJANJAUJANJA ZAKINA LISSU NA SI KUISHI KWA MISIMAMO ISIYOYUMBA, ni bora kutokupiga kura kabisa ukaendelea kusimamia unachokiamini na si kuishi kwa uongouongo na kuwaaminisha watu ukisemacho 100% ni sahihi,

watakaomchagua lowassa wakapimwe akili - MCH MSIGWA, MP - CDM.
Ni heshima kubwa kwa mungu kumzomea LOWASSA - LEMA, MP -CDM.
Mnawachoma moto wezi wa simu huku mnamuacha LOWASSA anapita - MBOWE, CHAIRMAN,MP -CDM.
RAFIKI YANGU KIKWETE AMEKUZA UCHUMI WA NCHI HII NA NITAENDELEZA ALIPOACHIA, BAADA YA MIEZI MIWILI RAFIKI YANGU AMEUA UCHUMI WA NCHI HII - LOWASSA, mgombea urais CDM.
HAKUNA MAHALI UNAWEZA KUSEMA CCM HAWAJAFANYA KITU, CCM WAMEFANYA MENGI NA MH AKAYATAJA MENGI TENA NDANI YA BUNGE - LEO CCM HAWAFAI --- LOWASSA...

"WHO IS IGNORANT"

Kati ya ma ignorant wakubwa Tanzania hawa ni namba moja. Nina kila sababu ya kuipigia kura CCM hata kama tumewachoka kuliko hawa vigeu geu. leo watatuahidi kua wakiingia Ikulu watabadilisha hiki na kile na pia wanaweza kugeuka wasifanye.

View attachment 288645

View attachment 288646

View attachment 288647

LAZIMA TUISHI KWA MISINGI IMARA ISIYOYUMBA,,,, siasa za kinafiki na kigeugeu ni muda wa kuzikemea na kuziacha,, leo hii watu wasomi wanatetea kabisa ujinga huu na si kuwa wakali,,, ukiwauliza eti mabadiriko..

lazima tuwe na uhakika na future ya hayo mabadiriko kwa kuangalia mienendo na akili za hao viongozi wa mabadiriko vinginevyo ni bora hayo mabadiriko yakasubiri wakati wake automatically ukifika tutayafanya..
hatutakiwi kuwa waumini na wafuasi wa hizi siasa za ujanjaujanja zakina LISSU na wenzie,, kuna mtu anaitwa YERICKO NYERERE hivi leo hii kweli naye anasimama kumtetea lowassa??? huu ni ujanjaujanja na unafiki tuukemee maana kuna siku atakuja hata EL-CHAPO, hawa wakina YERICKO watamtetea tu na kupotosha watu...

FUTURE YETU NI BORA KULIKO HAYO MABADIRIKO YA KITOTO MNAYOYAHUBIRI....
 
Last edited by a moderator:
sio lazima kila mtu awaze unavyowaza wewe PASCO,, uyasemayo yanaukweli ndani yake na mengine pia hayana ukweli ila ni ushabiki tu,, hivi nitakuaje sio "ignorant" kama nitamchagua mtu ambaye waliokuwa wanamhubiria ana dhambi kubwa kwa kuwa sehemu ya mshiriki tena kwenye kumi bora ya watu walolitia na wanaolitia hasara taifa hili leo hii tena wanatuambia huyu mtu na wenzie hawana dhambi ila ni mfumo tu... lazima kila mtu awe na misimamo yake isiyoyumba, binafsi siwaamini tena ukawa maana viongozi wake wengi ni waongo na vigeugeu na kwa neno zuri tunawaita wanafiki, kama bado hatujashika dola tunakiuka misingi tuliojiwekea je itakuwaje tukishika dola?? je kwanini basi tusimchague HASHIM RUNGWE wa CHAUMA au MAMA wa ACT na tukamuacha LOWASSA??
tunahitaji mabadiriko yenye shibe na future tunayoiona na si bora mabadiriko eti kwa kuwa tumeichoka CCM, lazima tuishi na misingi tunayoisimamia na kuiheshimu...

UKIWA KAMA MSOMI "PASCO" BILA SHAKA UNAWAJUA WANAUKOMBOZI/WANAMAPINDUZI WALIKUWA WATU WANAMNA GANI, SIAMINI KAMA MSOMI MZURI UKATETEA SIASA ZA UJANJAUJANJA ZAKINA LISSU NA SI KUISHI KWA MISIMAMO ISIYOYUMBA, ni bora kutokupiga kura kabisa ukaendelea kusimamia unachokiamini na si kuishi kwa uongouongo na kuwaaminisha watu ukisemacho 100% ni sahihi,

watakaomchagua lowassa wakapimwe akili - MCH MSIGWA, MP - CDM.
Ni heshima kubwa kwa mungu kumzomea LOWASSA - LEMA, MP -CDM.
Mnawachoma moto wezi wa simu huku mnamuacha LOWASSA anapita - MBOWE, CHAIRMAN,MP -CDM.
RAFIKI YANGU KIKWETE AMEKUZA UCHUMI WA NCHI HII NA NITAENDELEZA ALIPOACHIA, BAADA YA MIEZI MIWILI RAFIKI YANGU AMEUA UCHUMI WA NCHI HII - LOWASSA, mgombea urais CDM.
HAKUNA MAHALI UNAWEZA KUSEMA CCM HAWAJAFANYA KITU, CCM WAMEFANYA MENGI NA MH AKAYATAJA MENGI TENA NDANI YA BUNGE - LEO CCM HAWAFAI --- LOWASSA...

"WHO IS IGNORANT"

WEWE NI MSOMI, na UNAJITAMBUA, ningependa watanzania wote au wengi wangekuwa kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Mtanisamehe sana kwa kuanza huu mjadala kwa maneno makali, kuwa ina
wezekana kabisa sisi Watanzania tulio wengi ni "ignorants!", vichwa maji kabisa!, vichwani ni weupe na watupu!, uwezo wa kufikiri kwa kina (deep thinking). na kufikiri ka tafakuri, ("logical thinking"), ni mdogo!, wengi ni sifuri kabisa, ndio maana hatuna uwezo wa kufanya maamuzi ya maana, "informed decisions", hali inayopelekea, tunapelekwa pelekwa tuu kama ling'ombe, au tufanywa mazuzu!, kiasi kwamba, wengi wetu tunadanganyika kwa viahadi vidogo vidogo ambavyo ni non issues, na immaterial, ambazo sio chanzo bali ni matokeo tuu, badala ya kudeal na issue zenyewe ambazo ndicho chanzo, kilizopelekea haya yatokanayo, havishungulikiwi, havizungumzwi!, haviguswi!.

Hii ignorance ya Watanzania ina cut across society yetu na ku reflect ndani ya kila sekta ya jamii yetu kuanzia ndani ya familia zetu, mitaa yetu, vitongoji vyetu, vyama vyetu, ndani ya bunge letu, hadi ndani ya cabinet yetu!, tuna wabunge ma ignorants mule!, tuna viongozi wetu ma ignorants ndani ya cabinet yetu!, tuna viongozi wa taasisi za umma zenye dhamana ambao ni ma ignorants hadi, tuna viongozi wetu wa vyombo vya dola ikiemo mihimili ambao pia ni ma ignotants, na wana jf wengi tuu pia ni ignorants tuu, nikiwemo mimi mwana JF, ninayeandika hapa, Pasco wa jf, pia ni ignorant tuu!, ila tofauti yangu na wengi
wa maignorants wenzetu, wao wanajikalia kimya, hivyo kuificha hiyo ignorance yao, lakini sisi wengine ambao kwa bahati mbaya sana, hatukujaliwa aibu, tunaionyesha hiyo ignorance yetu kwa ku speak out and expressing our minds, tatizo, ni, in so doing, tunajikuta tumewaambukiza ignorance, hata wengine ambao hawakuwa ignorants!. Sorry for this.

Ni kufuatia ignorance hii, Chama cha Mapinduzi, (CCM), kinaitumia ignorance hii ipasavyo kwa kuifanya ndio mtaji wake wa kupatia kura za ushindi, mwaka hadi mwaka, na October
25 tutaichagua tena CCM kwa kuipa ushindi wa kishindo!.

Hisia za kujiuliza, kama sisi ni ma ignorants au tumelogwa, ni kufuatia kuwa na mtazamo, ya kuwa haiwezekani, watu wenye akili zao timamu, wakafanyiwa mambo ya ajabu ajabu kama haya, tunayofanyia na CCM lakini bado tunaichagua CCM tena na tena!, na October
25, tutaichagua tena!.

Tulipopata uhuru miaka ya 60, maadui wetu wakuu watatu, walikuwa ni Ujinga, Umasikini na Maradhi, lakini hadi leo miaka zaidi ya 54 baada ya uhuru, sio tuu, wale maadui wakuu watatu bado wapo, bali ujinga umeongezeka mara dufu, umasikini sasa ni uliotopea, kila siku ni afadhali ya jana!, na maradhi hadi mengine ni janga, vimeongezeka afadhali ya zamani na enzi za mkoloni, bali pia, tumeongeza idadi ya maadui wakuu, wakiwemo rushwa na ufisadi, ambapo mazao yake ni pamoja na DCP, Deep Green, Meremeta, TanGold, Alex Stewart, EPA, Richimond, Escrow etc, etc.

Tulijiwekea misingi yetu mikuu minne ya maendeleo kuwa ili tuendelee, tulihitaji vitu vinne: Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora!. Kwenye hiyo misingi, tulisema Pesa sio msingi, pesa ni matokeo!, hili ndilol lililokuwa kosa pekee la Mwalimu, kutofautiana na misingi ya ukweli ya uchumi, kama ilivyofundishwa na Adam Smith (land, labor, capital na interpreneureship)!. Kwenye ile misingi minne tulidharau capital kwa kudai "pesa sii msingi bali pe
sa ni matokeo!".

Watu tunao na ardhi ya kutosha, yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, madini, maliasili etc etc tunazo. Tulikuwa na tatizo kidogo la utekelezaji wa siasa safi ya Ujamaa na Kujitegemea na uongozi bora, ndio maana nchi tulizopata nazo uhuru, ile miaka ya 60, wao wakiwa ni masikini wa kutupwa kuliko sisi, with nothing, kana Tiger nations, leo wako mbali!, sababu pekee iliyowafikisha wenzetu pale walipo, wakati sisi tunaendelea kupiga mark time ni Elimu!. Sisi tulitaja tuu kuwa Ujinga ni adui, lakini we never invested on Elimu because we had no capital!. Nyerere aligombana na maprofesor wa uchumi, Kina Prof. Rweyemamu, wakajitimkia zao, akagombana Edwin Mtei na IMF, WB etc matokeo sote tunayajua!.

Kitu kizuri cha ajabu kuhusu sisi Watanzania ni kujifanya kupiga kelele sana as if tunauchukia umasikini, ujinga, maradhi, rushwa na ufisadi, lakini sisi wale wale, mwaka hadi mwaka, tunawachagua watu wale wale, chama kile kile, sera zile zile, tukitegemea matokeo tofauti!, hii ni nini kama sio ignorance at the highest levels?!. Keshokutwa October
25, 2015, tunamalizia kazi, kwa kuirudisha CCM kwa ushindi wa kishindo!.

Namalizia k
wa kukumbushia hili swali, are we really this ignorant?!, kwa kuchagua tuu ili mradi ni kuchagua, or this time, around tutaonyesha tumeerevuka angalau kidogo, hivyo tutachagua kwa sababu ya kuchagua, yaani kufanya informed decision?!, na sio kujichagulia tuu alimradi tumechagua!.

Na
watakia Jumamosi Njema.

Pasco

Pasco, nakupongeza kwa post yako yenye ujumbe mzito. Labda katika matumizi ya maneno, ungetumia neno la Kiingereza 'IDIOCY' yaani upumbavu uliokithiri badala ya 'IGNORANCE' ambayo ina maana ya ujinga kuelezea sababu ya Watanzania kuendelea kuing'ang'aniza CCM madarakani kwa njia ya sanduku la kura licha ya kushindwa vibaya kutimiza wajibu wake kwa wananchi.

Kwa wale ambao bado wana shaka na utendaji mbovu wa CCM na ambao huenda hawayaamini maneno ya wanasiasa wa upinzani, nawashauri warejee Malengo ya Milenia, (haya malengo ni muhimu sana kwa sababu ndio yanayotushindanisha kimaendeleo na mataifa mengine: United Nations Millennium Development Goals), hasa vile vipengele ambavyo vilipaswa viwe vimefikiwa mwaka huu 2015, iIli kupima utendaji wa CCM na kufanya maamuzi ya busara tarehe 25/10/15. (Hii ni mbali na malengo mbalimbali tuliojiwekea wenyewe ikiwa pamoja na utekelezaji wa bajeti mbalimbali za maendeleo). Kwa ufupi, CCM imefeli, imeshindwa kutimiza wajibu wake na imewaangusha Watanzania.

Lakini Pasco, naona tupeane 'benefit of doubt' (nafuu ya mashaka) kwenye hilo la kuirudiha CCM madarakani; naamini mwaka huu Watanzania wamefikia kiwango cha mwisho (turning point) cha ulichokiita IGNORANCE na hivyo wameanza kujitambua - hawatafanya makosa ya nyuma.
Ujumbe kwa Watanzania: Never settle for less.
 
Magufuli ni msaniii namfananisha kama masanja vile yani kinachomjia mdomoni yeye anasema tu yani full wakukurupuka afu hawa mapung'o wa ccm wanasema lowasa hawezi kuongea wapi duniani raisi anaongea kama magufuli raisi anatakiwa muda wote ni kufikiria wat next so hakuna kuropoka ropoka liowasa amakuwa nembo ya siasa ya tanzania siasa ingekuwa tamu sana kama kipindi hiki ccm ingesimamisha mtu mwenye siasa kama za lowasa no matusi no kelele anaongea facts tu
 
Kuna tofauti. Angalia hapa;

MAGUFULI
- ufisadi, rushwa, undugu na upendelo katika uuzaji wa Nyumba za serikali.
- Ujenzi wa barabara zisizo na viwango na kuisababishia serikali hasara ya mabilioni.
- ununuzi wa meli mbovu kwa gharama kubwa na kusababisha hasara kwa serikali.
- rushwa katika mchakato wa utoaji wa zabuni kwa wakandarasi wa barabara.
- upoteaji wa fedha za umma kwenye wizara ya Ujenzi.
- utoaji wa kauli mbovu kwa wananchi juu ya nauli ya kupanda kivuko cha kigamboni

CCM inayoendeshwa na mafisadi nguli. chama kimestawisha rushwa, ujangili, ugaidi, undugu, ukabila, ukanda , wizi, ujinga, umaskini ili kulinda maslahi yake.

Natakataa CCM na mambo yake yote.
Taja wasifu wa mwizi lowassa
 
Ya kale yamepita tazama yatakua mapya. Chama tawala kimewafool Watanzania nusu karne
Kuwa na msimamo ndugu, hao wa kukuongoza ktk hayo mabadiliko WEFELI MTIHANI WA KUSIMAMIA MISINGI WALIYOIWEKA MWANZO. Ni vigeugeu, endapo watachukua nchi hawaaminiki na wakisemacho!
 
Kuwa na msimamo ndugu, hao wa kukuongoza ktk hayo mabadiliko WEFELI MTIHANI WA KUSIMAMIA MISINGI WALIYOIWEKA MWANZO. Ni vigeugeu, endapo watachukua nchi hawaaminiki na wakisemacho!
Mimi ninao msimamo thabiti hayumbishi na chochote politics is dyanamic and it tends to change over time kwahyo wao kubadilika sio hoja kabisa yenye mashiko.
 
Back
Top Bottom