Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

Ni kweli naliona hilo genge.Ndio maana mimi na watanzania wenzangu tunaona ni bora tukaendelea na hili genge tunalolijua mpaka hapo tukapopata mbadala wake kuliko kuingiza Genge jingine tena hatari zaidi.

Hakuna genge hatari zaidi ya ccm, na genge hili hulijui.
 
Mtanzania mimi sitomchagua fisadi EDO wa Monduli.Mimi Chaguo langu ni MAGUFULI

Hoja yako ni nyepesi. Ishu si fisadi Edo ishu Ñî GENGE la mafisadi ambalo Magufuli Ñî mwanachama , na hana jeuri ya kuwapeleka mahakamani.

GENGE la mafisadi ndio CCM,
 
image.jpg
Haya NDIO mambo AMABAYO WAPINGA MABADILIKO WANAWEZA SIO MAENDELEO
UKAWA TUMEFANYA UTAFITI NA WATU WENGINE WANAJARIBU KUFANYA UTAFITI KAMA VILE REDET
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    24.1 KB · Views: 95
Naweza nikwamwelewa mwanasiasa wa UKAWA akija na porojo hizi lakini si mtu anaejitambulisha kama mwandishi wa habari ata kama shughuli zake ni free lancing for the most part; kwanza ile semina inayoendelea ya kuwafundisha waandhishi wa habari wajitambue aijafika huko ulipo.

Unawaita watu ignorants wakati clearly umekosa ethical za kazi and somewhat unpatriotic na maandishi yaliyo bias from the get go nothing but misleading hegemonic justification to the nation value. Not to forget the perosn you try to sell has nothing to offer other than fulfilling his person ambition by exploiting the same social ignorance with false promises which are untested and explained tunajua wazi kutokana na timu ya nzima kupewa nchi kwa sasa ni matatizo zaidi.

Pasco we ni kuwahurumiwa tu, ushindi wa Lowassa kwako wewe ni muhimu kuliko risks wanazoweza leta kwenye jamii kwa timu yao iliyopwaya vile labda ungejiita ignorant wewe mwenyewe binafsi usitutukane na wengine. Inataka moyo sana kwa mwelevu kuwaangalia watu wanaomshabikia Lowassa huko mtaani na wewe kumnadi ndiyo jibu la matatizo yao; shame on you.
 
Lowassa mwizi , mla rushwa na fisadi wa mali ya umma .Magufuli mchapakazi , msimamizi makini wa rasilimali ya umma ,muadilifu na mzalendo wa kweli.

Kuna tofauti. Angalia hapa;

MAGUFULI
- ufisadi, rushwa, undugu na upendelo katika uuzaji wa Nyumba za serikali.
- Ujenzi wa barabara zisizo na viwango na kuisababishia serikali hasara ya mabilioni.
- ununuzi wa meli mbovu kwa gharama kubwa na kusababisha hasara kwa serikali.
- rushwa katika mchakato wa utoaji wa zabuni kwa wakandarasi wa barabara.
- upoteaji wa fedha za umma kwenye wizara ya Ujenzi.
- utoaji wa kauli mbovu kwa wananchi juu ya nauli ya kupanda kivuko cha kigamboni

CCM inayoendeshwa na mafisadi nguli. chama kimestawisha rushwa, ujangili, ugaidi, undugu, ukabila, ukanda , wizi, ujinga, umaskini ili kulinda maslahi yake.

Natakataa CCM na mambo yake yote.
 
Nakushauli siku ya tarehe 25/10 jioni upite kuona matokeo kwenye polling stations za vyuo vikuu (UDSM, MUHAS, SUA etc). Trust me, CCM itakuwa inaongoza huko, ingawa katika chaguzi zilizopita hayo ndo yalikuwa maeneo ya wapinzani kupata kura. Tofauti ni kwamba mwaka huu upinzani umebugi mno kwenye choice ya mgombea!

wakipiga kura wanafunzi tofauti lakini wakiminywa matokeo yatakuwa kura za watu wa survey ambao wengi wapo serekalini na kina proffessor Bana-Vyuo vya ccm ni CBEs lakini vyuo vikuu kwa maana halisi huwa hawakosei
 


Kukujibu swali lako, ni kwamba sisi WatanZania ni watu tuliobarikiwa sana na Mungu na ndiyo maana Mungu siku zote yuko nasi na anatulinda ktk maamuzi yetu!

Sasa sababu hasa za sisi WatanZania kuendelea kuiamini CCM pamoja na mapungufu yake yote ni kwamba hatuoni mbadala, hakuna Chama cha Siasa ambacho kinaweza kusimama leo hii na kusema mimi ni bora zaidi ya CCM kwa sababu nimefanya ABC!

Kwa mfano ni kwa nini niichague UKAWA na kuitosa CCM? Unaweza kunipa sababu ya kunishawishi?
Je, kama tu chadema yenyewe hata Mwenyekiti wake haijulikani hata anapatikanaje na hakuna jinsi unavyoweza kumtoa ni kwa nini basi nikiamini chama kama hicho kwenye kuongoza nchi?
Kama chadema ambacho miaka yote kimemshutumu Lowasa kwa Ufisadi na wote walifanya hivyo kuanzia Mwenye Chama Mtei mpaka wapiga debe akina Msigwa sasa iweje leo hii waniambie Lowasa siyo fisadi na wamkaribishe kugombea Uraisi? Kwanini niwaamini watu kama hawa kuwakabidhi nchi, unaweza kuniambia?

Hivyo kwa kifupi ni kwamba mimi nasema kinyume chake kama WatanZania tukichagua Upinzani yaani fisadi Lowasa &Co. basi tutakuwa tumelogwa, lkn kwa kuwa Mungu anatupenda, anatulinda na kutupigania hilo haliwezi kutokea mpaka hapo upinzani wa kweli utakapotokea,!

Kumbuka hii ni nchi, na Nchi haifanyiwi majaribio!


Ignorant mwingine katika ubora wake
 
Naweza nikwamwelewa mwanasiasa wa UKAWA akija na porojo hizi lakini si mtu anaejitambulisha kama mwandishi wa habari ata kama shughuli zake ni free lancing for the most part; kwanza ile semina inayoendelea ya kuwafundisha waandhishi wa habari wajitambue aijafika huko ulipo.

Unawaita watu ignorants wakati clearly umekosa ethical za kazi and somewhat unpatriotic na maandishi yaliyo bias from the get go nothing but misleading hegemonic justification to the nation value. Not to forget the perosn you try to sell has nothing to offer other than fulfilling his person ambition by exploiting the same social ignorance with false promises which are untested and explained tunajua wazi kutokana na timu ya nzima kupewa nchi kwa sasa ni matatizo zaidi.

Pasco we ni kuwahurumiwa tu, ushindi wa Lowassa kwako wewe ni muhimu kuliko risks wanazoweza leta kwenye jamii kwa timu yao iliyopwaya vile labda ungejiita ignorant wewe mwenyewe binafsi usitutukane na wengine. Inataka moyo sana kwa mwelevu kuwaangalia watu wanaomshabikia Lowassa huko mtaani na wewe kumnadi ndiyo jibu la matatizo yao; shame on you.

Ignorant katika ubora wake
 
Pasco we are not ignorant and we have our actual minds that have already decided for changes..we believe we can....hakuna mbumbumbu wala hakuna atakayewapa kura ya kishindo CCM kwani watanzania wamekiwsha amka sasa wanasubiri muda tu oktoba 25 ndio utaona moto wao. hata mje na mbinu ya aina gani lakini sfari hii CCM mbemdembende kifo cha mende chalii... Slogan iliyopo sasa ni Mabadilikooo Lowassa na Lowassa Mabadilikoooo
Wanabodi,

Mtanisamehe sana kwa kuanza huu mjadala kwa maneno makali, kuwa ina
wezekana kabisa sisi Watanzania tulio wengi ni "ignorants!", vichwa maji kabisa!, vichwani ni weupe na watupu!, uwezo wa kufikiri kwa kina (deep thinking). na kufikiri ka tafakuri, ("logical thinking"), ni mdogo!, wengi ni sifuri kabisa, ndio maana hatuna uwezo wa kufanya maamuzi ya maana, "informed decisions", hali inayopelekea, tunapelekwa pelekwa tuu kama ling'ombe, au tufanywa mazuzu!, kiasi kwamba, wengi wetu tunadanganyika kwa viahadi vidogo vidogo ambavyo ni non issues, na immaterial, ambazo sio chanzo bali ni matokeo tuu, badala ya kudeal na issue zenyewe ambazo ndicho chanzo, kilizopelekea haya yatokanayo, havishungulikiwi, havizungumzwi!, haviguswi!.

Hii ignorance ya Watanzania ina cut across society yetu na ku reflect ndani ya kila sekta ya jamii yetu kuanzia ndani ya familia zetu, mitaa yetu, vitongoji vyetu, vyama vyetu, ndani ya bunge letu, hadi ndani ya cabinet yetu!, tuna wabunge ma ignorants mule!, tuna viongozi wetu ma ignorants ndani ya cabinet yetu!, tuna viongozi wa taasisi za umma zenye dhamana ambao ni ma ignorants hadi, tuna viongozi wetu wa vyombo vya dola ikiemo mihimili ambao pia ni ma ignotants, na wana jf wengi tuu pia ni ignorants tuu, nikiwemo mimi mwana JF, ninayeandika hapa, Pasco wa jf, pia ni ignorant tuu!, ila tofauti yangu na wengi
wa maignorants wenzetu, wao wanajikalia kimya, hivyo kuificha hiyo ignorance yao, lakini sisi wengine ambao kwa bahati mbaya sana, hatukujaliwa aibu, tunaionyesha hiyo ignorance yetu kwa ku speak out and expressing our minds, tatizo, ni, in so doing, tunajikuta tumewaambukiza ignorance, hata wengine ambao hawakuwa ignorants!. Sorry for this.

Ni kufuatia ignorance hii, Chama cha Mapinduzi, (CCM), kinaitumia ignorance hii ipasavyo kwa kuifanya ndio mtaji wake wa kupatia kura za ushindi, mwaka hadi mwaka, na October
25 tutaichagua tena CCM kwa kuipa ushindi wa kishindo!.

Hisia za kujiuliza, kama sisi ni ma ignorants au tumelogwa, ni kufuatia kuwa na mtazamo, ya kuwa haiwezekani, watu wenye akili zao timamu, wakafanyiwa mambo ya ajabu ajabu kama haya, tunayofanyia na CCM lakini bado tunaichagua CCM tena na tena!, na October
25, tutaichagua tena!.

Tulipopata uhuru miaka ya 60, maadui wetu wakuu watatu, walikuwa ni Ujinga, Umasikini na Maradhi, lakini hadi leo miaka zaidi ya 54 baada ya uhuru, sio tuu, wale maadui wakuu watatu bado wapo, bali ujinga umeongezeka mara dufu, umasikini sasa ni uliotopea, kila siku ni afadhali ya jana!, na maradhi hadi mengine ni janga, vimeongezeka afadhali ya zamani na enzi za mkoloni, bali pia, tumeongeza idadi ya maadui wakuu, wakiwemo rushwa na ufisadi, ambapo mazao yake ni pamoja na DCP, Deep Green, Meremeta, TanGold, Alex Stewart, EPA, Richimond, Escrow etc, etc.

Tulijiwekea misingi yetu mikuu minne ya maendeleo kuwa ili tuendelee, tulihitaji vitu vinne: Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora!. Kwenye hiyo misingi, tulisema Pesa sio msingi, pesa ni matokeo!, hili ndilol lililokuwa kosa pekee la Mwalimu, kutofautiana na misingi ya ukweli ya uchumi, kama ilivyofundishwa na Adam Smith (land, labor, capital na interpreneureship)!. Kwenye ile misingi minne tulidharau capital kwa kudai "pesa sii msingi bali pe
sa ni matokeo!".

Watu tunao na ardhi ya kutosha, yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, madini, maliasili etc etc tunazo. Tulikuwa na tatizo kidogo la utekelezaji wa siasa safi ya Ujamaa na Kujitegemea na uongozi bora, ndio maana nchi tulizopata nazo uhuru, ile miaka ya 60, wao wakiwa ni masikini wa kutupwa kuliko sisi, with nothing, kana Tiger nations, leo wako mbali!, sababu pekee iliyowafikisha wenzetu pale walipo, wakati sisi tunaendelea kupiga mark time ni Elimu!. Sisi tulitaja tuu kuwa Ujinga ni adui, lakini we never invested on Elimu because we had no capital!. Nyerere aligombana na maprofesor wa uchumi, Kina Prof. Rweyemamu, wakajitimkia zao, akagombana Edwin Mtei na IMF, WB etc matokeo sote tunayajua!.


Kitu kizuri cha ajabu kuhusu sisi Watanzania ni kujifanya kupiga kelele sana as if tunauchukia umasikini, ujinga, maradhi, rushwa na ufisadi, lakini sisi wale wale, mwaka hadi mwaka, tunawachagua watu wale wale, chama kile kile, sera zile zile, tukitegemea matokeo tofauti!, hii ni nini kama sio ignorance at the highest levels?!. Keshokutwa October
25, 2015, tunamalizia kazi, kwa kuirudisha CCM kwa ushindi wa kishindo!.

Namalizia k
wa kukumbushia hili swali, are we really this ignorant?!, kwa kuchagua tuu ili mradi ni kuchagua, or this time, around tutaonyesha tumeerevuka angalau kidogo, hivyo tutachagua kwa sababu ya kuchagua, yaani kufanya informed decision?!, na sio kujichagulia tuu alimradi tumechagua!.

Na
watakia Jumamosi Njema.

Pasco

 
Back
Top Bottom