St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,635
- 4,519
Yap,halafu mtu akitoka Malaysia kuja Kenya kupanda mlima Kilimanjaro tunaanza kulalamika,malalamiko ya nini wakati mpaka Kahawa wanayokunywa toka Kenya inaeleza Kilimanjaro ipo Kenya.....
Labda Tanzania haina "haki miliki " ya neno "Kilimanjaro" kama ilivyo kwa kenya kwa neno "Harambee"
Viongozi wetu bado wako kny kampeni kunadi sera za ccm na uchaguzi ni 2015! Kenya wanaidi nchi yao kwa mbinu yoyote wanayo ijua kuwa italeta ushawishi, na uchaguzi wao ni march 2013!
Kuna haja ya kutafuta hiyo haki miliki na kuizuia Kenya kufaidika kwa kutumia jina ambalo halihusiani na chochote kile ndani ya nchi yao. Usikute wameshatuzidi kete tayari wana haki miliki ya jina Kilimanjaro.
Kilimanjaro sio registered trade mark
Nadhani badala ya kuwatwisha viongozi wetu kila kitu, sisi kama raia mmoja mmoja tuwe chanzo cha mabadiliko, kwa kutoa elimu mbadala kwa wageni kwamba Mlima Kilimanjaro uko Tanzaniana sio Kenya.
Hivi huu mchezo wa Kenya kutumia jina la Kilimanjaro ili 'kuuza kwao' utaisha lini?
Hivi huu mchezo wa Kenya kutumia jina la Kilimanjaro ili 'kuuza kwao' utaisha lini?
Hii ni majuzi Waziri Mkuu wa Kenya Mh Raila Odinga akiwa Malaysia....kahawa ni 'Kenya Coffee' lakini
mbona tena hapo juu naona 'Kilimanjaro'?
...ama nd'o ishatoka hii nayo?
Pinda ama JK wakisafiri nje ya nchi wanapromote nini? Bakuli?
viongozi wa tanzania wao wanajua kugombea madaraka na labda kuomba misaada nje tu.