Watanzania na simu za mkononi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,453
154,316
Kama vijana wa taifa hili ndo wanavyotumia simu zao, basi simu hazifai; wengine wanazitumia kuweka picha kwenye blog zao SIKU NZIMA, wengine wawasiliana na wapenzi wao SIKU NZIMA, wengine wanashinda SIKU NZIMA wakicheki story za soka,..sioni chochotekatika hivi chenye mchango wa kuboresha maisha ya mtu binafsi wala taifa,.moja wapo ya kiini muhimu unapo design tangazo la biashara ni ku-communicate the benefit of using a particular product or service; kitu ambacho ktk hili tangazo sikioni;..I stand to be corrected!
 
wafanyibiashara washajua wateja wao ni wajingajinga so ndo wanapowapatia hpo kwa kutangaza bidhaa zao na kusifia vitu vya kijinga jinga kwa ajil ya wajinga wajinga ambao ndo wapo wengi na ndo soko lao kuu.cku hiz v2 vya kijinga ndo vnapewa kipaumbele.ukiwa concious utachukiwa na kila m2.
 
hili sio tatizo la Tanzania tu, tena hapa kwetu bado halijasambaa kivile, ulaya ambako kuna kila kitu na urahisi wa kupata wazazi wanalia, china korea japan watoto wanawehuka na magame uarabuni na kwingineko ni vilio
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom