lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,168
- 2,656
Nawasalimu kwa jina LA JMT, moja kwa moja kwenye mada Tangu kuondoka kwa Kanumba ni kama aliondoka na Bongo Movie pamoja na hayo hata kipindi cha Kanumba uongo ulikithiri mno kwenye filamu, ikawa msichana mzuri yeyote anavalishwa kaguo kafupi ndio main character vijana na hereni zao kina Hemedi, gari za ufahari na nyumba za kufikirika kwa familia zilizonyingi za bongo, kukosa uhalisia
Wabongo wakavumilia mwisho wakashindwa kabisa huko kukaifanya Bongo Movie kukinaiwa na kuchukiwa na wabongo walio wengi, zikaibuka filamu kama kigodoro ambayo iliakisi maisha halisi ya Bongo ikaeleweka zikatolewa na the likes za kigodoro nyingi zikapendwa.
Bongo Movie wakawa kama wamejistukia, wakaanza kujirekebisha sasa hivi kuna tamthilia nyingi wanazirusha kiukweli wanajitahidi sana kina hemedy hawavai tena hereni kuna uhalisia mkubwa sana katika hizi tamthiliya.
Mimi nimewakumbatia na sitawanyima riziki waitafutapo kupitia kwangu ni muda sasa wa kuwasamehe wamejua kosa wamejirekebisha japo sio complete ila wanajitahidi sana.