Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kongwe na hawakurupuki ktk maamuzi. We angalia mchakao wa kusuluhisha hili suala la madakitari, ni suala ambalo limefanywa kwa umakini na linaendelea kutatuliwa kwa umakini. Sasa hao kenya tangu waweke upinzani;
Je kumfukuza mtu au kumfuta mtu kazi ni suluhisho? si ni ujinga? Kwani serikali ya CCM wasingeweza kuwafukuza ma Dr? Mbona wameamua kutumia njia ya mahakama wakati huo wanaendelea na mazungumuzo! Msiniite kiduku, naomba mtafakari!!
- Mwaikibaki na Raila waligombana
- Raila alijilimbikizia mali kwa kuchukua mikataba ya mafuta toka Arabuni,
- Mwaka 2007 wakenya wakachinjana kwa sababu ya uchu wa madaraka wa hao wapinzani
- Na sasa hawataki kuwasikiliza wanachi wanyonge waliowapatia kura na wameamua kuwafukuza kazi!
Hivi Tz itajifunia lipi zuri ukifananisha na kenya mfano hela yao inapanda thamani kila kukicha japo wana vita na alshabab na ingekuwa Tz tuna vita kama wao shilingi yetu ingeporomoka zaidi ya ile ya zimbabwe, pia asilimia kubwa ya wananchi wa kenya wanatambua haki zao nikimaanisha elimu ya uraia yapo mambo mengi tu waliyotuzidi nayo hata export of Tanzanite wametuzidi, sisi labda tulichowazidi nacho ni rasilimali tulizonazo ambazo tumeshindwa kuzittmia ambazo siyo man effort bali ni baraka toka kwa Mungu tu ila kwa upande wa kenya man effort wapo juu kuliko ufikiriapo