Watanzania mnaotutambia kujenga kila kitu kwa hela ya ndani, mnadaiwa kila mmoja milioni moja

sijakwambia ulete article mm.
mnakuza mambo ilhali kitu chepesi mie nimeuliza na nilitaka jibu la ndio au hapana.
HABARI ZENU WAKENYA SIZIAMINIGI MSHA FABRICATE SANA HABARI NYIE.
NYIE SI NDIO MLIOTANGAZA OLDUVAI GORGE IPO KENYA ??
NITAAMINIJE HABARI ZA WATU KM NYIE?
Sasa wewe wakenya waliwaambia magufuli ako hospitalini mkiambiwa akona mafile state house, soma article boss, ukimaliza ingia google
 
Sasa wewe wakenya waliwaambia magufuli ako hospitalini mkiambiwa akona mafile state house, soma article boss, ukimaliza ingia google
Vipi mmeidhibiti corona ?
Maana hapa EA wanaoripotiwa kuelemewa na corona ni Rwanda na Kenya.
Halafu kwann pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute tunapishana sana na wakalenjin wakifata matibabu vp Kenya hawajaiona?
 
Thats what we call hearsay, mimi nakupea evidence
20210311_111953.jpg
 
Hakuna alieuinua uchumi wa nchi hii kama JPM

Kama kweli wewe mchumi utalijua hili

Kibwagizo: USD Exchange Rate Against TZS Kikwete VS Magufuli:

Kikwete: USD to TZ December 2005 = TZS1270, December 2015 = TZS2165: (2165-1270 = 895)
View attachment 1752471View attachment 1752474

Magufuli: USD to TZ December 2015 = TZS2165, February 2021 = TZS2319: (2319-2165 = 154)
View attachment 1752475View attachment 1752476

Source: USD TZS Historical Data - Investing.com

Yeah JPM was nn the best for our country, sijui kwann wanahisi uraisi ni mraisi
 
Back
Top Bottom