Watanzania mnaopenda kuja Norway kutafuta maisha chukua ushauri huu, kazi nyingi ni za bandarini

Kufanya kazi kwenye temp agency aka vikarbyrå huwezi kutengeneza pesa ya maana hata siku moja. Utakuwa unaishi wiki kwa wiki kutegemea kama temp agency wataweza kukutafutia vibarua kila ukimaliza kazi sehemu moja. Kamwe huwezi kuvuta Tshs 30 million kwa mwezi kwa kazi za kipato cha chini/minimum wage huko Norway.
 
Kumekucha
 
Duuuuuu!!!!!

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Naona bado hawaamini mkuu Kama vipi kamanda andika avatar yako kwa bango kwa maandishi mekundu PER DIEM wataamini hivihivi wabongo nuksi!
 
Kufanya kazi kwenye temp agency aka vikarbyrå huwezi kutengeneza pesa ya maana hata siku moja. Utakuwa unaishi wiki kwa wiki kutegemea kama temp agency wataweza kukutafutia vibarua kila ukimaliza kazi sehemu moja. Kamwe huwezi kuvuta Tshs 30 million kwa mwezi kwa kazi za kipato cha chini/minimum wage huko Norway.
Sijui Kama umeelewa na unafatilia vizuri
 
Mimi najua hiyo nimepitia kazi za vikar. Wewe unakuja na hoja watu waende Norway kufanya kazi za bandarini wakati wewe mwenyewe huna permanent contract ya uajiri bandarini bali una contract na temp agency. Kesho kutwa temp agency atakupangia kwenda kuosha vyombo na masufuria canteen aka kafeteria. Kwahiyo kwa ajira hizi za muda ndiyo unatengeneza 30 mil kwa mwezi wakati unalipwa minimum wage kama huna taaluma za kazi husika? Kamwe huwezi kuwa tajiri Norway, Ulaya au Marekani kwa kazi za kuajiriwa na Temporary Job Agencies kama Manpower, Adecco, etc hata kwa viwango vya Tanzania. Utaishia kulipa bills zako tu tena kwa taabu sana. Ukishindwa unaenda NAV wanakubeba kukusaidia na vihela vya kodi, mavazi na chakula.
 
Huyu jamaa analipwa minstelønn au minimum wage kama wanavyoita wenyewe. Lakini akija Mzungu kutoka Sweden, Poland au Lithuania, Temporary Agency watawalipa hao Wazungu zaidi kwa saa kwa kazi ileile sababu ni Wazungu, achilia mbali Wenyeji ambao huwa wanalipwa zaidi kwa saa mara zote ukilinganisha na Wahamiaji kutoka Africa.
 
Wewe ni kinega

Nenda vicoba vya akina mama wakukopeshe hiyo Tsh Millioni mbili upate mtaji wa kujiunga Q-NET. Pole sana mkuu.

IMG_20210506_230152.jpg

-Kaveli-
 
Madam binti kiziwi , pitia kipande hii. Mzee wa Norweeyi Mkuu Per Diem yupo kwa hewa tena... kamwaga 'madini'.

Dada lake kama vipi twenzetu Norweeyi 'tukachukue maisha'.

Wazee wa 'koneksheni' za ughaibuni... Uduwanzi unaendelea!

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom