Watanzania mnaokwenda kwa jirani na mavazi yanayo chochea ngono, hili linawahusu...!

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
_71857561_71848712.jpg

NGONO MARUFUKU: Bunge Uganda lapitisha sheria inayokataza vipindi, uandishi, mavazi na muonekano unaochochea ngono leo. Museveni akiisaini, sketi fupi marufuku.
===

.. Ugandan MPs have passed a controversial bill that will ban miniskirts.

The anti-pornography bill, which also outlaws overtly sexual material including music videos, was voted through after a short debate.

When Simon Lokodo, Uganda's ethics and integrity minister, proposed the legislation earlier this year, he said that women who wore "anything above the knee" should be arrested.

The bill needs to be approved by the president before becoming law.

Uganda is a socially conservative country - it is also considering legislation to increase the punishment for homosexual acts, including the death penalty in some cases.

According to Uganda's private Monitor newspaper, the new legislation will outlaw material which shows parts of the body including breasts, thighs and buttocks, or any erotic behaviour intended to cause sexual excitement.

It will also ban anything that shows indecent acts or behaviour intended to corrupt morals, the paper reports.

The BBC's Catherine Byaruhanga in the capital, Kampala, says the new rules could affect Uganda's popular tabloid papers.

Share this story
===
 
Hii zamani kidogo ilikuwepo Tanzania, my mama alinihadithia kuwa ilikuwa ukivaa nguo fupi inapigwa mkasi chwaaaaa hadi juu pande zote, na polisi walifanya kazi hii, this was 1970's and 1980's.
 
Maamuzi mazuri hayo...kama watu wanashindwa kuvaa vizuri kwa hiari bora wavae vizuri kwa lazima..
 
Hii zamani kidogo ilikuwepo Tanzania, my mama alinihadithia kuwa ilikuwa ukivaa nguo fupi inapigwa mkasi chwaaaaa hadi juu pande zote, na polisi walifanya kazi hii, this was 1970's and 1980's.

Ndiyo ilikuwa kipindi cha Mrema alipokuwa waziri wa mambo ya ndani, pale kariakoo watu waliaibika sana, wengine walikimbilia taksi kujiokoa
 
Hii zamani kidogo ilikuwepo Tanzania, my mama alinihadithia kuwa ilikuwa ukivaa nguo fupi inapigwa mkasi chwaaaaa hadi juu pande zote, na polisi walifanya kazi hii, this was 1970's and 1980's.

...mwaka juzi baadhi ya vyuo vya hapa TZ viliweka masharti kuwa wanafunzi waliovaa ovyo, yale mavazi ya kuwa kwaza watu wengine na kuchochea ngono, hawataruhusiwa kuingia kwenye mazingira ya vyuo husika!
Sina uhakika kama kanuni hii bado inafanyakazi...!
 
images

...wenzetu wanao kana kwamba wananyimwa haki zao...
images

...wadau.. kitumbua chao kinapoingia mchanga...
images
 
Hii zamani kidogo ilikuwepo Tanzania, my mama alinihadithia kuwa ilikuwa ukivaa nguo fupi inapigwa mkasi chwaaaaa hadi juu pande zote, na polisi walifanya kazi hii, this was 1970's and 1980's.

Ilikuwa mwaka 1973 mini skirt, tight, mashati slim-fit na pecos( Bell Bottom) zilipigwa marufuku watu walikamatwa na kuchaniwa nguo. Ingawa Nyerere alizuia operesheni hiyo kwa maelezo kuwa ni mambo ya muda tu yatapita, ziliingia boogaloo au mabwanga,maksi (magauni marefu mpaka chini). Kwa kiasi kikubwa wa tz walibadilika sana katika mavazi hasa wanawake na ikawa kama mila mpaka miaka ya karibuni. Kama sikosei hata kuvaa nywele za bandia ilipigwa marufuku. Mfumo wa uvaaji ni muhimu lakini iwe kupitia hamasa siyo sheria kwani ni kuingilia uhuru wa kujisikia
 
...mwaka juzi baadhi ya vyuo vya hapa TZ viliweka masharti kuwa wanafunzi waliovaa ovyo, yale mavazi ya kuwa kwaza watu wengine na kuchochea ngono, hawataruhusiwa kuingia kwenye mazingira ya vyuo husika!
Sina uhakika kama kanuni hii bado inafanyakazi...!
walifanyia kazii sana kama chuo cha SAUT Mwanza..hakuna ruhusa ya kuingia class au eneo la chuo na suruali,wala tite ndefuu
 
Ulisha fika Uganda? ok le me tell kwa Uganda hayo ni maneno tu hamna kitu hapo.......nchi ile haina maadil huwez linganisha na TZ.
 
Hata ndefu zingine zinatega

Yap sure kuna zingine ndefu unakuta ni kitambaa laini wenyewe wanaita uji uji afu kimetaiti kiaina, sasa hii ikivaliwa na mwanamke kajaaliwa baasi anawatia fazaha mijidume maana kama inanata na maumbile yake hvi so unaona hana tofauti na aliyevaa fupi. Wote sawa tu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ni sahihi min-skirts, tops,tight wears... But vitu hivi tayari uislam ulishaeleza mapema sana lakn wakubwa wakaweka pamba maskioni na kufuata utaratibu wa magharibi ambao ni wakishenzi na usio na stara hata kidogo... Taratibu mtaukubali uislam kwa tabia & maadili yake...
 
SHERIA ZA KIPUMBAVU IZI SIJAPATA KUONA.

UNAPIGA MARUFUKU MINI SKIRT

ALAFU UNARUHUSU WATU WAVAE GAUNI ZENYE MIPASUO MPK KIUNONI,

WENGINE WANAVAA MAGAUNI WANAYAITA "CHARANGA" ni VERY TRANSPARENT UNAONA VIUNGO VYOTE VYA PILAU WAKIYA VAA

WAGANDA WANATWANGA MAJI KWENYE KINU.

KWA WALIOFIKA UGANDA WATANIELEWA NNACHO MAANISHA HAPA
 
Ni sahihi min-skirts, tops,tight wears... But vitu hivi tayari uislam ulishaeleza mapema sana lakn wakubwa wakaweka pamba maskioni na kufuata utaratibu wa magharibi ambao ni wakishenzi na usio na stara hata kidogo... Taratibu mtaukubali uislam kwa tabia & maadili yake...

Kasoro yake ni kulipua na kuua watu waso hatia! Kuoa wake wengi na kukataa kupata elimu dunia!
 
Back
Top Bottom