Watanzania mnaokaa Baltimore ni kweli mnalala na panya na ni wachafu wachafu according to Trump

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Trump amemdhalillisha rep Cummings na watu wote wanaoishi Baltimore
8F72E5BA-528D-4A4D-BB6C-9BA15CC256AA.jpeg
17E313C8-B3F5-4BB4-84EB-80E701B1522E.jpeg
8638EE29-1896-47C7-925E-B822685783FA.jpeg
AC2F08B5-CE6D-4FEA-9755-0768D7C2C505.jpeg
C3C56260-56D1-4B37-BC2F-F0D8BF38692C.jpeg
66EC2950-28C1-4431-BCE3-42315EDA716A.jpeg
1F6291B0-BC2F-4DBE-8B27-CEE0A70DE5CD.jpeg
 
Attachments

  • 6AE4294C-D143-4AC5-AD00-98DE0568BCAC.jpeg
    6AE4294C-D143-4AC5-AD00-98DE0568BCAC.jpeg
    40.1 KB · Views: 47
  • 3D4B5638-2EA7-467A-9E72-D38ACEED00D5.jpeg
    3D4B5638-2EA7-467A-9E72-D38ACEED00D5.jpeg
    31.9 KB · Views: 50
  • C96F4466-7621-4BE3-8F0E-A9EDE994F2A8.jpeg
    C96F4466-7621-4BE3-8F0E-A9EDE994F2A8.jpeg
    14 KB · Views: 50
  • 41D25915-7DC1-42C3-B3DF-5CC492CDA8F3.jpeg
    41D25915-7DC1-42C3-B3DF-5CC492CDA8F3.jpeg
    41.4 KB · Views: 48
  • 25B19804-E67E-408C-A6FF-40127A2B52F7.jpeg
    25B19804-E67E-408C-A6FF-40127A2B52F7.jpeg
    22 KB · Views: 46
  • 4B5C2C65-35B3-462C-84A5-FD1E291592AA.jpeg
    4B5C2C65-35B3-462C-84A5-FD1E291592AA.jpeg
    23.3 KB · Views: 46
Trump kasema hakuna binadamu atakaewish kuishi huko,Inamaana wanaoishi huko siyo binadamu.Huwa mkija bongo mnasema mnaishi Maryland kumbe huko ni kuchafu binadamu hawaishi huko.Poleni sana.Rudini Tanzania nyumbani kumenoga.
 
Maryland ni Kubwa sana .Hiyo Baltimore ipo maryland .Baltimore is a district .Kinondoni ni wilaya kubwa mno ila kuna sehemu wilaya ya kinondoni ni horrible
 
Trump kasema hakuna binadamu atakaewish kuishi huko,Inamaana wanaoishi huko siyo binadamu.Huwa mkija bongo mnasema mnaishi Maryland kumbe huko ni kuchafu binadamu hawaishi huko.Poleni sana.Rudini Tanzania nyumbani kumenoga.

To be honest watanzania wengi wanajitambua Hawaishi huko very few .ila ma wig ,vitu cha kiafrica huko ndio jikoni.may be sokoni
 
Back
Top Bottom