watanzania mnaikumbuka hii??

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,391
1,541
Tuliwaambia kumchagua magufuli ni kuichagua ccm mkabisha,mkasema ataleta maziwa na asali kwa kuwa amekuja kwa bahati mbaya.

sasa basi tulieni hivyo hivyo dawa iwaingie,hilo ni kuhusu bunge na bado mengine yanakuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom