Watanzania mnafaham vizuri mfumo wa digital na athari zake?

Bugari bijoga

Member
Mar 18, 2012
13
0
Kuna suala la mfumo wa digital ambao kuanzia mwezi wa kwanza unaanza kutumika lakini je watanzania wanayo elimu ya kutosha kuhusu mfumo huu?je,wewe unasemaje? unalionaje?
 
Mkuu nilifungua huu uzi kwa haraka ili nami nipate kujua athari za digitali, weka athari zake basi kama unazijua mkuu ili watanzania nao wazijue!!
 
Nachofahamu hatuna local content za kutosha kujaza massive bandswidth(channel zaidi ya ishirini). Labda turushe rusha roho na hotuba za waasisi 24/7
 
Naona ni mfumo mzuri kulinganisha na analogy bt ndo ivo garama za kupata services zitaongezeka.....#you cant have only television to get servises au mi naelewaje jmn.
 
Ni jambo la kushtusha sana kuwa idadi kubwa ya watanzania hawana taarifa za kutosha kuhusu mfumo huu ambao mimi mwenyewe unanishtua juu ya uwezekano wa watanzania kuweza kununua vocha kila wiki au kila mwezi ili kuangalia TV?
 
Naona ni mfumo mzuri kulinganisha na analogy bt ndo ivo garama za kupata services zitaongezeka.....#you cant have only television to get servises au mi naelewaje jmn.

haaa sisini wakuletewa tu nasikuzote hua nana fuata maamuzi sio ushauli kutoka Duniani kwa taharifa Japan mpaka hi leo wao bado wanatumi Analogy.maka sim zao je Digtal ingekua ndio suluisho la maisha basi wa Japan wao wanazo Santlight kibao kwai bado itakua na matatizo pia wanataka kutuuzia tecnology
 
Back
Top Bottom