Watanzania mliotoka mkoani Dar kuja makao makuu Dodoma acheni ushenzi vingenevyo tutagawana mbao

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi wakuu

Natoa wito kwa watanzania wenzetu ambao wametoka mkoan dar kwa magari ya jeshi kuja mji mkuu dodoma waache ushenz fasta tena mara moja vingenevyo tutagawana fito mda si mrefu

Kumekuwa kuna tabia kwa watu hawa ambao walisombwa na semi za jeshi kama mizigo kuja makao makuu dodoma na kuanza kusumbua watu

1. Wamekuwa wanasabisha ajali za mara kwa mara kwa kujifanya wao ni mamwamba sana yaan wanajua sana kuovataeki kuchomeka vigari vyao kwenye folen, vigari vyenyewe ni vi Paso na vi Starlet. Ajali zimekuwa nyingi sana na hawana ustarabu hata robo wanaposabisha ajali hukimbia na kutokomea kusikojulikana, sisi tumezoea inapotokea ajali tunasaidiana wala siyo kukimbiana maana sisi wote ni watanzania na viumbe wa mola wetu mlezi yaan watoto wa Adamu na Eva

2. Wake zao kujitongozesha
Kumekuwa na tabia ya wake za hawa jamaa kujitongozesha kwetu wanaume wa dodoma wakati huo sisi tuna mademu zetu, waambieni wake zenu waache shobo

3. Ulimbukeni
Aisee sijawahi ona watu malimbuken kama hawa aisee. Akija hata kama ni dukani anataka kununua nguo au simu ataanza kukuletea maswala ya Dar. Mara mbona sisi dar hizi shati ni elf kumi tu mbona nyie huku munauza bei kubwa, mbona sisi hizi simu kwa Dar tunanua sijui laki moja mbona huku mnatuuzia bei kubwa, mbona hivi viatu tukienda Karume ni elfu tano tano mbona huku munauza bei kubwa hivyo

Sasa kama karume wanauza bei ndogo si muende mkanunue huko huko kuliko kuja kusumbua watu huku, ukiona sisi tunauza vitu bei kubwa kanunue huko huko Dar kuliko kutuletea ulimbuken wenu huku

4. Wanaume kuongea saut za kike na kutuma msg kwa miandiko ya kike
Hili limekuwa tatizo sugu sana yaan unachati na jemba anaanza kukutext kwa maneno haya:
Mamb
P
Axnt

5. Wanajeshi kuweka kofia na makoti yao ya jeshi kwenye viti vya IST zao, hii tabia kwa wanajeshi wa makao makuu Dodoma haikuwepo wamekuja hawa malimbuken kutoka Dar wameanza ujinga wao wa Dar

Achen ujinga vinginevyo tutagawana fito aisee. Tutawachapa kweli kweli

LONDON BOY
 
Aman iwe nanyi wakuu

Natoa wito kwa watanzania wenzetu ambao wametoka mkoan dar kwa magari ya jeshi kuja mji mkuu dodoma waache ushenz fasta tena mara moja vingenevyo tutagawana fito mda si mrefu

Kumekuwa kuna tabia kwa watu hawa ambao walisombwa na semi za jeshi kama mizigo kuja makao makuu dodoma na kuanza kusumbua watu

1, wamekuwa wanasabisha ajali za mara kwa mara kwa kujifanya wao ni mamwamba sana yaan wanajua sana kuovataeki kuchomeka vigari vyao kwenye folen, vigari vyenyewe ni vi Paso na vi stalet

Ajali zimekuwa nyingi sana na hawana ustarabu hata robo wanaposabisha ajali hukimbia na kutokomea kusikojulikana, sisi tumezoea inapotokea ajali tunasaidiana wala siyo kukimbiana maana sisi wote ni watanzania na viumbe wa mola wetu mlezi yaan watoto wa Adamu na Eva

2, wake zao kujitongozesha
Kumekuwa na tabia ya wake za hawa jamaa kujitongozesha kwetu wanaume wa dodoma wakati huo sisi tuna madem zetu, waambien wake zenu waache shobo

3, ULIMBUKEN

Aisee sijawahi ona watu malimbuken kama hawa aisee
Akija hata kama ni dukan anataka kununua Nguo au simu ataanza kukuletea maswala ya dar
Mara mbona sisi dar hizi shati ni elf kumi tu mbona nyie huku munauza bei kubwa, mbona sisi hizi simu kwa dar tunanua sijui laki moja mbona huku mnatuuzia bei kubwa, mbona hivi viatu tukienda karume ni elf tano tano mbona huku munauza bei kubwa hivyo

Sasa kama karume wanauza bei ndogo si muende mkanunue huko huko kuliko kuja kusumbua watu huku, ukiona sisi tunauza vitu bei kubwa kanunue huko huko dar kuliko kutuletea ulimbuken wenu huku

4 WANAUME KUONGEA SAUT ZA KIKE NA KUTUMA MSG KWA MIANDIKO YA KIKE

Hili limekuwa tatizo sugu sana yaan unachati na jemba anaanza kukutext kwa maneno haya

Mamb
P
Axnt

5, Wanajeshi kuweka kofia na makoti yao ya jeshi kwenye viti vya IST zao, hii tabia kwa wanajeshi wa makao makuu dodoma haikuwepo wamekuja hawa malimbuken kutoka dar wameanza ujinga wao wa dar

Achen ujinga vinginevyo tutagawana fito aisee
Tutawachapa kweli kweli

Shwain

LONDON BOY
Tumia akili wewe nani aje kuugua ugonjwa wa vikope,, ,?
 
sawa
 
Back
Top Bottom