X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,119
kutokana na mfumuko mbaya wa maadili Leo si jambo geni kusikia watanzania wamekamatwa either kwa kupita kwenye nchi za kigeni kinyemera au wamekutwa na madawa ya kulevya...kwa hali hii inatufanya watanzania tunaotaka kwenda nje kupata ugumu huko tuendako...hii NI kutokana na viongozi kuwa chekea ama kufumbia macho wavunjaji hao wa sheria uko ughaibuni...
Mimi nadhani huu NI wakati sasa wa viongozi kuwa makini na watu wote watakao kutwa na hatia ya kosa lolote kwenye nchi za kigeni....itungwe sheria ikiwezekana watu hao wanyang'anywe passport zao za kusafiria wapewe na adhabu Kali...hii itarudisha hadhi ya taifa letu ughaibuni...lakini sio jitu limekamatwa na madawa ya kulevya then linakuja kupokelewa kama rais if I was me jitu kama hilo likishuka tuu airport linapokelewa na virungu hata kama uko ughaibuni kasha tumikia kifungo na huku pia nampa kifungo na adhabu Kali
watanzania tuamke tusichekee uharifu kwani unaidharirisha taifa letu linalopendeza...taifa lenye rasilimari za Kuvutia...mbuga nzuri za wanyama...mlima mrefu wa Kilimanjaro, ziwa kubwa LA Victoria... na vivutio vingine vya kupendeza...mm na wewe tuipende nchi yetu kwani hawezi kutoka MTU uko atokako akaipenda nchi yetu