Watanzania mlininyima kura za uraisi,ona njaa inayowakabili acha iwatafune

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,652
8,542
Hayo ni maneno aliyoyaandika Mheshimiwa RAISI HASHIMU RUNGWE kupitia kwenye ukurasa wake wa facebook,Je una maoni gani kwa maneno aliyoyatoa ukiwa kama Mtanzania
15094410_1220389978026434_239934577625138843_n.jpg
 
Duuh we jamaa wewe daah nimefungua uzi fasta nikijua anaezungumza hivyo ni Sizonje kumbe Hashim Thabit aaah no Hashim Rungwe
 
Kura unapata 0 alafu ulitarajia kushinda hata wewe unaisoma numba..
Kaa kimya kama kina flani ukariri namba vizuri
 
Back
Top Bottom