Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni Ubalozini. Ona lawama kibao kwa Serikali wakati Ubalozi haujui kuwa wengi mko Ukraine

Hivi Tanzania tuna ubalozi katika nchi ya Ukraine?
Huyo balozi wa Tanzania nchini Ukraine ni nani na huo ubalozi uko mji gani?
Kama tuna balozi Ukraine, mpaka sasa mbona hajatupa mrejesho wowote?
 
Ubalozi wa Tanzania inje ya inchi ni upuuzi mtupu.
Hawana msaada wowote. kwa raia wake..
Kama niliwahi kutuma maombi ya passport ya dharura,, wakadai na pesa ya stamp euro 30 ili wanitumie passport yangu,, hao watu wana msaada gani kwa raia?
Kazi yao ni kutupaka matope watanzania kwenye inchi husika.

Kwa kifupi embassy za Tanzania ni genge la watu wachache ambao sio wazalendo kwa taifa..
Watanzania wanaoishi ughaibuni ni kama mayatima.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Umeelewa nilichoandika? Ubalozi waweza kuwa mbali au karibu waweza report tu online kwa email si lazima uende kuuza sura ubalozini pale sio sehemu ya kuuza sura au kwenda kuganya njaa ila ukitaka kwenda physical ly kujisajili ruksa jisajili ondoka usianze pirojo au kuganga njaa
Balozi za Tanzania zisikie tu mwanangu.
 
Kulikuwa na kila dalili kwa urusi kuvamia Ukraine Hawa viongoz wetu wa ubaloz walikuwa wap mbona nchi nyingine ziliondoa raia wake au Africa n kulia Lia tu
 
Ukraine mbali hapo Malawi yupo Mtanzania mmoja alifanya kosa kweli la kuwa na mgodi wa dhahabu bila vibali vya Nchi nae alikua hana vibali walipomkamata hawakumchelewesha wakamweka ndani na mahakamani siku inayofuata na hukumu ya miezi sita akakaa miezi sita na akakaa miezi sita tena Malawi Serikali walikua hawana nauli ya kumtoa haliko mpaka Mpakani Songwe pamoja na escort ya polisi wawili na gari liwekwe mafuta Watanzania kadhaa walivyofanya mchakato wa kumchangia maana walikua hawana taarifa nae Mkuu wa magereza akasema wapo watanzania wengine watatu hawana nauli na vifungo vyao vimekwisha ikabidi watu wajichangishe tena na ubalozi upo ila hakuna wanachoweza kufanya watu wachahe walichanga jamaa wakasafirishwa mpaka mpakani..Tanzania ni Nchi ambayo haijali kabisaa raia wake huko Nje kupitia balozi zake...mikasa ninayo mingi nikiwa na muda ntaeleza..
 
Kazi ya ubalozi si.kulipia nauli watu.Kwani hawana ndugu Tanzania ? Usilaumu ubalozi laumu ndugu zao
 
Kama si jukumu la ubalozi kupata ripoti ya raia was Tanzania walio tembelea nchi fulani basi jukumu hilo liongezwe haraka.
Na ukizingatia kwa sasa passports zimekuwa za kidijitali zaidi basi inakuwa rahisi kwa ofisi za ubalozi kusync taarifa kwa haraka na usahihi kabisa.

YEHODAYA hoja Yako ni nzuri but ni typical analog. Na ukizingatia umbali, muda, majukumu/dhumuni la safari na gharama mtu unaweza kwenda kujiandikisha ubalozini.
Imagine upo mji X na ubalozi wa Tanzania upo mji Z au nchi AA tofauti kabisa.
Kwa kuanzia, Ubalozi wa Tanzania hauna ofisi huko Ukraine. Balozi wetu aliyepo Uswiss ndiye anayetuwakilisha pia huko Ukraine. Tatizo linaanzia hapo.
 
Kampuni ya Toyota yasimamisha uzalishaji kiwanda chake kikubwa kilichoko Urusi kutokana na Vikwazo ilivyowekewa Urusi

Source : NHK TV ya Japan
 
Kazi ya ubalozi si.kulipia nauli watu.Kwani hawana ndugu Tanzania ? Usilaumu ubalozi laumu ndugu zao
Walitakiwa watoe au wajue wapo Watanzania huko ili ndugu wajue kwa kuanzia..walikamatwa na Waghana wao ubalozi ulifanya sahihi kwa kutoa taarifa kwa wahusika...
 
Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni ubalozini ona sasa lawama kibao kwa serikali wakati ubalozi hauwajui wengi wenu kuwa mko Ukraine serikali iwasaidieje wakati mliingia kimya kimya kama vibaka.

Nchi za wenzetu wakifika wananchi walienda hutoa report ubalozini kuwa wako nchi hiyo si lazima waseme kwa shughuli gani wana report kuwa wapo mji fulani eneo fulani.

Kureport ni bure aweza report hata kwa Email ukiambstanisha copy ya Passport yako na contacts zako
Likitokea la kutokea Balozi wanajua afanyaje na awasilianaje na wewe

Watanzania lawama kibao kwa Serikali zimekuwa zikitolewa mfano mavurugu yalipotokea Afrika kusini serikali ililaumiwa na la Ukraine serikali inalaumiwa lakini ukienda register ya Watanzania waliojisajili ubalozini aweza ikuta tupu. Kelele zinalipuka tu nyumbani oh Serikali iokoe watanzania walioko Ukraine mbona nchi zingine wanaokoa.Nchi hizo zingine wana Rekodi za watu wao kule ndio maana rahisi

Sasa balozi mlitaka apite na gari ya matangazo mira ya Ukraine kutangaza kuwa kama kuna mtanzania aje gari ya matangazo yupo balozi hapa wakati mabomu ya Urusi yanarindima?

Tubadilike
Ni kweli kabisa ulichosema.
 
Nadhani kureport Ubalozi physically inakuwa ngumu sana kwanza labda muda wa kwenda na pia ukaribu wa eneo, nafasi aliyonayo raia mwenyewe (muda) na Mambo kadha wa kadha mfano unakuta upo nchi ya Ulaya Ila ulipo hakuna Ubalozi lazima uende nchi nyingine.

Imagine waliopo Ukraine wanakuwa served na Ubalozi wa nje sijui Sweden au Belgium so unaweza kuona shida iliyopo.

Pia unakuta unaingia nchini unakaa siku tano na ratiba iko tight sana utakosa muda wa kwenda Ubalozi na balozi zetu nazielewa Kuna ushenzi sana.

Nadhani kungekuwa na database inayolink balozi na uhamiaji ili waangalie viza ngapi zimepita kwenye hiyo airport ili kujua Kuna watanzania wangapi nchi walipo .

Pia wangeweka utaratibu maalum wa kureport kimtandao ingekuwa rahisi unajaza details zako na viza yako na ulipo umefikia wapi au unascan viza tu .
 
Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni ubalozini ona sasa lawama kibao kwa serikali wakati ubalozi hauwajui wengi wenu kuwa mko Ukraine serikali iwasaidieje wakati mliingia kimya kimya kama vibaka.

Nchi za wenzetu wakifika wananchi walienda hutoa report ubalozini kuwa wako nchi hiyo si lazima waseme kwa shughuli gani wana report kuwa wapo mji fulani eneo fulani.

Kureport ni bure aweza report hata kwa Email ukiambstanisha copy ya Passport yako na contacts zako
Likitokea la kutokea Balozi wanajua afanyaje na awasilianaje na wewe

Watanzania lawama kibao kwa Serikali zimekuwa zikitolewa mfano mavurugu yalipotokea Afrika kusini serikali ililaumiwa na la Ukraine serikali inalaumiwa lakini ukienda register ya Watanzania waliojisajili ubalozini aweza ikuta tupu. Kelele zinalipuka tu nyumbani oh Serikali iokoe watanzania walioko Ukraine mbona nchi zingine wanaokoa.Nchi hizo zingine wana Rekodi za watu wao kule ndio maana rahisi

Sasa balozi mlitaka apite na gari ya matangazo mira ya Ukraine kutangaza kuwa kama kuna mtanzania aje gari ya matangazo yupo balozi hapa wakati mabomu ya Urusi yanarindima?

Tubadilike
Watanzania wanaujua huu utaratibu? Ilaumu serikali kwa kushindwa kutoa elimu kwa wanaosafiri nje ya nchi.
Naamini hata wewe ungebahatika kwenda huko usingekuwa na wazo hilo.
 
Ngoja twende Taratibu unataka ubalozi ukupe inauli au? Ndugu zako Tanzania wote walifariki dunia hawawezi kuchangiana wakupe tickets au? Msaada gani unataka ubalozini ? Fafanua wazi
Usitake kusema balozi hazina msaada wowote kwa watanzani katika nchi husika.

Pia usikariri, kuna watu hupata matatizo kwenye nchi za watu ambayo kama balozi zikiwasaidia inakuwa rahisi kutatua tatizo tofauti na mtu akilifanya mwenyewe.
 
Kwa mfano umefiwa au huna nauli unataka ubalozi ukupe? Nyumbani huna simu za nduguzo wakutumie hela ya nauli au michango wa kusafirisha msiba?

Kuwa nje hakukufanyi uwe tofauti sana na raia wengine walioko nchini ambao nao hukosa nauli au kufiwa huwa hawasaidiwi na Serikali husaidiwa na ndugu,majirani na marafiki

Huko nje ni ku over estimate kazi za ubalozi
 
Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni ubalozini ona sasa lawama kibao kwa serikali wakati ubalozi hauwajui wengi wenu kuwa mko Ukraine serikali iwasaidieje wakati mliingia kimya kimya kama vibaka.

Nchi za wenzetu wakifika wananchi walienda hutoa report ubalozini kuwa wako nchi hiyo si lazima waseme kwa shughuli gani wana report kuwa wapo mji fulani eneo fulani.

Kureport ni bure aweza report hata kwa Email ukiambstanisha copy ya Passport yako na contacts zako
Likitokea la kutokea Balozi wanajua afanyaje na awasilianaje na wewe

Watanzania lawama kibao kwa Serikali zimekuwa zikitolewa mfano mavurugu yalipotokea Afrika kusini serikali ililaumiwa na la Ukraine serikali inalaumiwa lakini ukienda register ya Watanzania waliojisajili ubalozini aweza ikuta tupu. Kelele zinalipuka tu nyumbani oh Serikali iokoe watanzania walioko Ukraine mbona nchi zingine wanaokoa.Nchi hizo zingine wana Rekodi za watu wao kule ndio maana rahisi

Sasa balozi mlitaka apite na gari ya matangazo mira ya Ukraine kutangaza kuwa kama kuna mtanzania aje gari ya matangazo yupo balozi hapa wakati mabomu ya Urusi yanarindima?

Tubadilike
Mabalozi na maofisa wao hawajishughulishi na raia waishio kwenye hizo nchi. Hadi wawe na ugeni waanze kuwatafuta. Inasikitisha sana.
Wanajijua wenyewe finally.
Hakjna hata balozi moja yenye orodha wa watu wao.
Lakini ukitizama balozi za wenzetu Zilizo Tanzania wanawajua watu wao fika. Mfano US, Germany, France na wengineo!
Bora hata Jumuiya za wenyewe kwa wenyewe kwenye magrouo
 
Kwa mfano umefiwa au huna nauli unataka ubalozi ukupe? Nyumbani huna simu za nduguzo wakutumie hela ya nauli au michango wa kusafirisha msiba?

Kuwa nje hakukufanyi uwe tofauti sana na raia wengine walioko nchini ambao nao hukosa nauli au kufiwa huwa hawasaidiwi na Serikali husaidiwa na ndugu,majirani na marafiki

Huko nje ni ku over estimate kazi za ubalozi
Sio kuomba nauli, ila kuna mambo ubalozi ndio unakusaidia.

Mfano kuna bro mmoja alikuwa nchi fulani yeye pamoja na familia yake yenye watoto 4.

Lakini alipatamatatizo akashindwa kulipia resident visa, hivyo alikuwa na deni kubwa la penalty ya miaka kadhaa, la mkewe na wanae wote, ambalo alikuwa anasema hata kama ndugu zake wote wakijichanga hawawezi kulilipa.

Hivyo, aliclaim kupoteza passports, wakafungua file polisi Kisha akaomba kibali ubalozini, wakasafiri bila ya passports.

Lakini kama ubalozi usingetoa ushirikiano huoni hapa kama huyu jamaa angekuwa kwenye matatizo makubwa?
 
Back
Top Bottom