Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,510
When I say we (Africans) talk more than we do, I get slammed for being a cynic.
But NN how long do you think we will remain that way?
Having a brilliant idea is one thing, but having to actually deliver it is another story.
If Tanzanians of different ethnic, religious, social and economic backgrounds in urban areas all over the country cannot be expected to pull their resources together and repair something so trivial and basic as dilapidated neighborhood roads, how the hell could anyone entertain the idea of locally led private initiative to plan and finance a billion dollar project of the magnitude sketched above? Pure wishful thinking if not day dreaming!
Bin Maryam,
Now this is much better as far as constructive criticism, goes.
Nyambala katoa Fikra, Umetoa utaalamu pinganifu, let the game begin.
Your analysis puts us into thinking mode on how to realize this Dream of Nyambala. Huku ndiko kulikuwa kunahitiajika ili kujenga mradi madhubuti na si kuanza kuogopa na kutafuta visingizio kuwa mradi hautafanikiwa.
Nyama,
Kila society ina starting point, regrouping and restart na kuendelea. Tanzania sasa hivi iko kwenye stage ya regrouping ili kuwa na mwanzo mpya. Hivyo basi, tunaomba nguvu zako ziweko katika kujiunda upya na kboresha mfumo mpya tunaotaka kuujenga.
Wote tunafahamu historia, itakaa mawazoni mwetu kutukumbusha pale ambapo tulianza kupotoka na kuanza kuharibu mambo.
Hakuna jamii hata moja duniani ambayo haijawahi kupitia msuguano na msukosuko kama tunavyoona sasa hivi. Sisi si wa kwanza na wala hatutakuwa wa mwisho. Ni hali halisi ya Ubinadamu.
Tuambie, kwenye kulijenga upya Taifa letu, wewe utafanya nini?
Rev:
Naona katika mijadala kama hii nywele zako uwa zina-sisimka. Pingamizi langu kubwa sio hoja ya kukataa
Mawazo ya Mwanzilishi ndugu Nyambala. Pingamizi nililonalo ni risk-factors ambazo zinaambatana na miradi iliyopo katika
mazingira yetu na mitigation zake.
Ukweli wa mambo baada ya uhuru serikali nyingi za kiAfrika zilijiingiza katika juhudi za industrilisation.
Vikwazo vikubwa vilikuwa business model walizofuata, mismanagement, matapeli wa kimataifa ambao walitumia
naivette ya waafrika kuiba pesa kwa kutoa miradi iliyowanufaisha wao na sio waafrika na mambo mengine.
Kushindwa kwa kujaribu sio kitu kibaya iwapo utajenga Knowledge base ambayo itasaidia kuondoa matatizo ya miradi iliyopita
na kujenga Excellency ya uanzishaji na uendezaji wa miradi inayokuja.
Katika posti zilizopita. Kuna mtu alisema Nyerere alianzisha University lakini Mwinyi na Mkapa walishindwa.
Fundi Mchundo (Fundi Mwenzangu) akajibu kwa kusema kuwa kuanzisha sio kazi, kazi ipo kwenye kuendeleza. Na kwa wale
waliopitia IT, wanajua kabisa kuwa implementation ya IT system ni 20% ya bajeti na maintanance ni 80% ya bajeti. Na kwa mtaji
huu kila mradi una implementation cost na running cost.
Mpaka sasa watanzania wamesha-implement miradi mingi tu. Hivyo kwa sehemu kubwa weakness yetu haipo katika kubuni
miradi au kuanzisha. Weakness kubwa ipo kwenye kuendesha miradi hiyo (running). Na siku zote usiendeshe kitu kwa kutumia weakness
zako. Utapata hasara tu.
Hivyo wazo la mtu kutumia mchango wa watanzania 1,000,0000 kuanzisha mradi sio kitu kibaya lakini hiyo ni 20-40% ya mradi mzima.
60-80% ni sehemu ya ku-run au kuendesha mradi mzima ili ulete manufaa.
Hivyo changamoto kwa watoaji wa mada inabaki palepale. Watueleze wataleta utamaduni upi wa kuongoza miradi hiyo hili itoe faida
kwa waliochangia na kwa jamii.
NICO?????????????????? kwa mtizamo wangu they are failing us. Ngoja tusubiri waweke kwenye DSE ndipo muziki mzuri utaaanza. Mimi i call NICO " Chagga Donation fund.
Hongera kwa wazo la One MT fund...I am in for the idea. Tatizo la wa TZ
1.management
2. Hidden agendas
3. Unrealistic projectsKama One MT itakuwa na mtizamo wa kutengeneza PESA kwa PESA on a serious note......nitatoa. Sasa tusiishie ku brain storm tu jamani tuanze...kama tuko serious. Nimechoka mipango ya hewani...