"Watanzania milioni 39 wanakunywa mataputapu"

Nani anaita mbege yetu mataputapu? Shenzi malabukuu panya road wahedi.....
 
Mikoa ya dar es salaam na kilimanjaro imetajwa kuwa vinara wa utumiaji pombe isiyotakiwa kwa matumizi ya binadamu kiafya ya kienyeji maarufu kama mataptap..
.... chanzo magazeti ya leo....
 
Nani anaita mbege yetu mataputapu? Shenzi malabukuu panya road wahedi.....
ea1b6cb63ea28a95ed541b3bc09ca98f.jpg
 
87% ya Watanzania wanakunywa mataputapu, sasa tukiongeza na asilimia ya wanaokunywa bia si jibu litakuja Watanzania wote ni walevi? Au hulioni tatizo hapo?

Yaani 13% ya Watanzania ndio humo wamo wasiotumia kilevi na wanywa bia? Hii nchi ilipofikia sijui hata nani wa kumuamini, maprofesa hovyo madoctor hovyo yaani ni shidaaa.
haimaanishi hivyo. katika hao 87% kuna wengine wanakunywa vyote.
 
Utafiti WHO umeonesha 87% ya watanzania wanakunywa pombe za kienyeji, Dar, K'njaro zaongoza kwa wanywaji wengi wa pombe hizo

Mkoani Kilimanjaro eneo linaloongoza kwa wanywaji wa pombe hiyo ni Moshi, kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012.

Tanzania ilikuwa na watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya milioni 44.9, hivyo 87% ya idadi hiyo kulingana na utafiti huo ni watu milioni 39.06. Kulingana na gazeti la Jambo Leo limeeleza kuwa utafiti huo umebaini kuwa kwa sasa vijana wengi wanatumia pombe kupita kiasi kuanzia shule ya msingi hadi vyuo vikuu hali inayosababisha wakumbwe na magonjwa ya akili na kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu.

Matokeo ya utafiti huo yalitangazwa jana katibu mkuu wa chama cha wataalam wa afya ya akili Tanzania (MEHATA), Dk. Kissah Mwambene.Alikuwa akitoa mada kwa wabunge juu ya athari za matumizi za matumizi ya pombe iliyoandaliwa na chama cha waandishi wa habari wanawwake

‘TAMWA’.

#jamboLEO
Hata beer za hapa Tanzania ni matapu tapu ndio maana serikali inaongeza kodi kila siku watu waache kunywa haya matapu tapu maana ndio yanadumaza akiri za wananchi wetu,mfano beer inaitwa Ukawa ni matapu tapu kwa asilimia 100%
 
Back
Top Bottom