Watanzania mbona tunalaumu tena dr magufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania mbona tunalaumu tena dr magufuli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Mar 3, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndg: Wana JF Mimi nafikiri tumuachie magafuli afanye kazi, Tatizo letu watz tunapenda lelemama, Maana Jamaa anafuta sheria wewe unajenga au unakaa sehemu kwa mazoea. Hili ni Tz kwa watz, Angalia sasa Magembe yameondolewa ili watu wavunje sheria wanaogopa faini sh 200000.

  Wenzetu ndio maana wapo mbele maana hakuna uzembe na kuvunja sheria,

  Niwaambie ndugu zangu hata akichukua nchi mfano Dr Slaa watu watakamatwa sana maana jamaa hana uzembe leo hii watu wamezoea tu kukojoa ovyo kufika kazini muda anaotaka, Kutoroka kazini kuiba etc

  Ujanja ndio uliotufikish hapa

  Dr Magufuli we Endeleeeeeeeeeeeeee
   
Loading...