Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Endelea kujiliwaza. Aliyemrithi Bob Collymore kama CEO wa kampuni kubwa kabisa Africa Mashariki na ya Kati , Safaricom, ni huyu jamaa hapa Peter Ndegwa.
Webp.net-resizeimage.png
CEO wa KQ ni mzawa Allan Kivaluka, kabla ya Michael Joseph ilikuwa ni mzawa mwingine kutoka Gatuzi la Kajiado, Titus Ole Naikuni. Kuna wataalamu wa kutosha, ambao ni wazawa, kwenye nyanja zote nchini Kenya. Sio kama Tz ambapo mlikosa hadi wataalamu wa kupima virusi tu vya COVID-19 kwenye sampuli. Hebu tuonyeshe picha au majina ya ma'surgeon' wa Muhimbili tuone kama wote sio mabeberu.
Hakuna hata mgeni mmoja anayefanya kazi Muhimbili, sisi sio Kenya.
 
Hivi urafiki wa Jiwe na Raila bado upo au ndio kibwengo hataki shobo tena
Labda urafiki wao uliisha baada ya Jiwe kupata taarifa kwamba nia ya Raila ilikuwa ni kumtumia kuihujumu na kuiua bandari ya Bagamoyo kwa faida ya Kenya na bandari ya Lamu. Zitto Kabwe alidai kwamba rais Uhuru alimpa Raila tuzo la "Maritime Champion of the Indian Ocean" kwa kufanikisha mission. :rolleyes: Watz buana. Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda
 
Nikusaidie tu! Tanzania ilisgapitisha sharia kwamba, nafasi zote za CEO na MD wa makampuni yote lazima ziongozwe na watanzania
Sivyo unavyosema wahindi au waarabu
Makampuni yote public hata yanayomilikiwa na hao wahindi na waarabu kwa sasa yanaongozwa na watanzania

Inaonekana wewe sio mfuatiliaji, rejelea kesi ya Vodacom, mlimkatalia Mkenya akaajiriwa Mwarabu kisha mzungu, mkiletewa ngozi nyeupe huwa mnafyata.
 
ubongo gani mko nao.

huu wa kuuana wakati wa uchaguzi,kuiba pesa na mali za uma,au kujipendekeza kwa wazungu!!!

sisi sasa tumepewa vyote,kama huamini angalia namna tunavyowasumbua ukanda huu.juzi tumenyima permit mkenya na hakuna kitu mnaeza fanya.

Ubongo mlinyimwa maana mngetumia hata 2% ya mlivyo navyo mngeongoza Afrika kwa uchumi hata kuizidi Nigeria, ila sisi hizo raslimali hatuna ila tunaongoa EAC pamoja na kati kwenye kila kitu, kiuchumi, kijeshi, kielimu na vyote.
 
Aah wapi tukose wataalamu wakati ndio hawa hawa ambao kampuni nchini Tz zinang'ang'ania kuwateua bila hata interviews(head hunting). ...shortage of professionals in biotechnology and molecular biology in Tz... Sio maneno yangu ni ya waziri wenu wa afya Ummy Mwalimu. Tanzania laboratory for testing Covid-19 faulty, minister says
Kenya KQ na Safaricom miaka yote tangu zimeanzishwa zimekua chini ya wageni kwa miaka mingi sana, madaktari 90% Nairobi Hospitala na Karen Hospital ni wageni.

Kuhusu hiyo link ya Covid test kuwa ni faulty, sina uhakika kama umeelewa, report imesema tatizo ni mashine ya kupimia ndio ilikua mbovu.

Wewe unajua vizuri kwamba katika "Medicine and Biomedical Science, Tanzania hapa Africa inashindana na South Africa na Egypt pekee, hakuna nchi yoyote zaidi ya hizo mbili unaweza kulinganisha na Tanzania
 
Ubongo mlinyimwa maana mngetumia hata 2% ya mlivyo navyo mngeongoza Afrika kwa uchumi hata kuizidi Nigeria, ila sisi hizo raslimali hatuna ila tunaongoa EAC pamoja na kati kwenye kila kitu, kiuchumi, kijeshi, kielimu na vyote.

1% ndio hii inafanya tunasumbua kenya hailali,tukisema neno moja wakenya wote mpaka diaspora wanalala na viatu.

swala la kuongoza kiuchumia ni mtambuka,unaona nigeria ina uchumi mkubwa sana lakini maisha ni kama kenya tu,wananuka shida.
 
Hahaha, mnaongoza kwa njaa, crime, rushwa, madeni, slums, tribalism, corona, poverty and Police brutality.

Wakati KDF wanatiwa vidole na Alshabaab, JWTZ wanakaribia kumaliza kazi huko Msumbiji, punde mtabadili kauli na kusema Magaidi wa Msumbiji hawana nguvu kama Ashabaab.
 
"...She said other
shortcomings identified by
the probe team included
lack of technical
supervision for testing of
Covid-19 samples, poor quality assurance of
results and poor storage of
tested samples for
Covid-19. Mwalimu added that the
probe team also revealed
that the laboratory
established in 1968 was
facing shortage of
professionals in biotechnology and
molecular biology
,
according to the
statement..."
Kenya KQ na Safaricom tangu zimeanzishwa zimekua chini ya wageni kwa miaka mingi sana, madaktari 90% Nairobi Hospital na Karen Hospital ni wageni.

Kuhusu hiyo link ya Covid test kuwa ni faulty, sina uhakika kama umeelewa, report imesema tatizo ni mashine ya kupimia ndio ilikua mbovu.

Wewe unajua vizuri kwamba katika "Medicine and Biomedical Science, Tanzania hapa Africa inashindana na South Africa na Egypt pekee, hakuna nchi yoyote zaidi ya hizo unaweza kulinganisha na Tanzania
SA na Egypt sio?
 
"...She said other
shortcomings identified by
the probe team included
lack of technical
supervision for testing of
Covid-19 samples, poor quality assurance of
results and poor storage of
tested samples for
Covid-19. Mwalimu added that the
probe team also revealed
that the laboratory
established in 1968 was
facing shortage of
professionals in biotechnology and
molecular biology
,
according to the
statement..." SA na Egypt sio?
Sasa wewe mbona hutumii akili?, Tanzanis tunazalisha madaktari wengi karibia mara mbili ya Kenya kila mwaka, lakini serikali inawaajiri wachache sana ukilinganisha na Kenya.

Upungufu wa hao watumishi unatokana na serikali kuajiri wataalamu wachache kulinganisha na mahitaji yake. Tanzanzia kwa mwaka tunazalisha watumishi wengi sana wa Afya, madaktari pekee tunazalisha 1370, Kenya mnazalisha 700 pekee, ushahidi upo.
 
1% ndio hii inafanya tunasumbua kenya hailali,tukisema neno moja wakenya wote mpaka diaspora wanalala na viatu.

swala la kuongoza kiuchumia ni mtambuka,unaona nigeria ina uchumi mkubwa sana lakini maisha ni kama kenya tu,wananuka shida.

Tatizo mtabaki hivyo kwa muda mrefu sana maana wenyewe huwa mpo mpo tu, ni kama mna gubu vile, yaani hapa tunaelekea kuwapiga uchumi mara mbili yenuu, kidogo Kikwete alikua amejaribu kurekebisha pengo, ila awamu hii ndio buriani, halafu ndio mshajiongeza miaka mitano.
 
nakwambia tena MK254,sisi lengo letu sio kuipiku GDP kenya wala kuikaribia.

sisi lengo letu ni kuboresha maisha ya mtz mmoja mmoja.wewe mkenya huwezi kuniambi unaumia sana na sisi kuwa na uchumi mdogonever.miaka 5 tumeongeza na mpaka 2025 mna GDP $200bln lakini bado maisha ni kitendawiri kwa mkenya.
 
Humjui huyo?, hasira na wivu kuona Tanzania is doing better than Kenya in every sector.
 
"...She said other
shortcomings identified by
the probe team included
lack of technical
supervision for testing of
Covid-19 samples, poor quality assurance of
results and poor storage of
tested samples for
Covid-19. Mwalimu added that the
probe team also revealed
that the laboratory
established in 1968 was
facing shortage of
professionals in biotechnology and
molecular biology
,
according to the
statement..." SA na Egypt sio?
Hii imekaaje?
 
nakwambia tena MK254,sisi lengo letu sio kuipiku GDP kenya wala kuikaribia.

sisi lengo letu ni kuboresha maisha ya mtz mmoja mmoja.wewe mkenya huwezi kuniambi unaumia sana na sisi kuwa na uchumi mdogonever.miaka 5 tumeongeza na mpaka 2025 mna GDP $200bln lakini bado maisha ni kitendawiri kwa mkenya.

Lengo hilo hamna maana uwezo huo haupo, hata mjitutumue vipi hamkaribii mkia wetu, walijaribu mababu zenu, wakajaribu baba zenu, mkajaribu nyie na sasa mtapokeza vizazi vijavyo huku pengo likiendelea kuongezeka.
 
wee mbuzi kweli,hivi unaelewa ninachokwambia!!!

haya endeleeni kupanua gape maana raha na marengo yenu ni kuona mnaipiku tanzania meanwhile hata tunashangaa GDP yenu ina faida gani.
 
Kenya ni kainchi kadogo halafu zaidi ya nusu yake ni kame tupu, kuna wakati kiangazi hurindima na kusababisha janga, ila huwa tunapambana na kuwafikishia ndugu zetu misaada huko.
Lakini Tanzania liinchi likubwa full madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri, kila kitu kizuri ila umaskini wa kufa mtu unawatesa maana nyie wazembe wa kutupwa.

Tanzania hamna umasikini. Umasikini wa kweli uko Turkana. The place is stinking poverty.
 
Lengo hilo hamna maana uwezo huo haupo, hata mjitutumue vipi hamkaribii mkia wetu, walijaribu mababu zenu, wakajaribu baba zenu, mkajaribu nyie na sasa mtapokeza vizazi vijavyo huku pengo likiendelea kuongezeka.

No country in the world use other country as a development plan. Never seen on earth.
Halafu uje kwa Kenya, hakuna nchi ambayo is feeling to be like Kenya. Nyie ni laughing creatures, as a country, hamna mtu anayetamani kuwa kama nyie. Kwa sababu inajulikana your country has two worlds. The nice world is for few. But the majority are in poverty crucible. They are being boiled, until it has reached the point, they can't distinguish between life and death.
 
Back
Top Bottom