Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Kama wewe ulivyo na shobo na bongo hadi kutumia JF

Hakuna forums huko kwenu au kila kabila na forum yake?
Sijaona jamii forums tz mimi, hapa nipo jamii forums kenyan section.
Au ndio umeshachanganyikiwa tayari, manake mi ndio napaswa kukuuliza km unatafuta nn hku kenyan section mchumba
 
Sijaona jamii forums tz mimi, hapa nipo jamii forums kenyan sectio.
Au ndio umeshachanganyikiwa tayari, manake mi ndio napaswa kukuuliza km unatafuta nn hku kenyan section mchumba

Ohh Jamii forums (website) sasa ni ya Kenya shangazi kama Mt. Kilimanjaro sio
 
Ni lazima tuangalie kwa nini hizo kampuni ziko after Kenyans,sisi watanzania tumekosa nini..kisha tupandikize hizo qualities kwetu Tanzanians..badala ya kulaumu...mojawapo nacchohisi mmetupita ni level ya English na Computer use..sidhani kwenu Kenya mnalazimisha watu waende jeshi ati kujifunza uzalendo. Richard
 
acha umama, Coca-cola kwanza ipo chini ya CCBA (Cocacola Bevarage Africa) makao yake makuu yapo SA ambao wanamilikiwa na Coca-cola wenyewe from Atlanta USA, CCBA inamatawi mengi sana across Africa ikiwemo NBL na nyinginezo hapo kwenu, na zote zinareport SA sio Nairobi . Wengine wote wanao produce coca hao tunawaita bottlers ambao wananunua tu patent rights za production, huku kwetu kuna Bonite bottlers na Nyanza bottlers, hawa hawana HQ nchi yoyote yani ni franchisers tu. Sasa usijishebedue eti nyie ndo HQ, mxiuuu.

Sasa kama HQ ipo huko mnalilia nini kuja TZ.. Mnataka HQ iwe Kenya na kazi za TZ wafanye wakenya? Waambie hayo makampuni they may as well move the plant huko kama hawawezi kufuata taratibu zetu, it's that simple.

kumbe una majibu hivii
 
Ndo tushagoma sasa hata mlie vipi hawataki wanaweza ondoa it's that simple. Hii ndo TZ hatunyenyekei mizungu or anyone in that matter. Mliona tulivyofanya KQ hadi mkaomba poo, coca cola and the likes will receive the same treatment. Endelea kupiga kelele hapa uone kama tutalegeza

ha ha hawa Watanzania ni wa maajabu, saa hizi tunafanyia kazi ya IT ya kampuni moja ya uingereza ambayo ipo Tanzania,
hao wazungu walitupa kazi pia ya kusaidia ndugu zetu Watanzania kwa vile tunaweza kuzungumza kiswahili, lakini chuki na wivu haiwaruhusu kusoma.

bahati yetu tunaifanya kazi "online", kama tungalikuwa huko makachero wa CCM wangekuwa wametufumania.

Mwaka wa 2016 to 2018 nilihusika kwenye design,development na maintenance ya mtambo fulani wa software kwenye shirika la serikali ya TZ. Hiyo kazi tulikuwa tumepewa na Kampuni ya Israel ambayo ilikuwa imepewa hiyo Tender, lakini ukiskia Watanzania wakitutukana hapa unaweza dhania wako level moja na Japan kwenye teknologia na utendakazi.
 
Ohh Jamii forums (website) sasa ni ya Kenya shangazi kama Mt. Kilimanjaro sio
Badilisheni muweke JamiiForums tz basi alafu mtoe kenyan sections km vile nchi zingine

Watanzania bila kenya uongo, mkitoa kenyan section tu mtandao unabuma kunabaki umbea tu
Huoni wengi wenu na thread za kueleweka ziko hku kenyan section, watanzania bila kuja huku hawapati choo
 
Ni lazima tuangalie kwa nini hizo kampuni ziko after Kenyans,sisi watanzania tumekosa nini..kisha tupandikize hizo qualities kwetu Tanzanians..badala ya kulaumu...mojawapo nacchohisi mmetupita ni level ya English na Computer use..sidhani kwenu Kenya mnalazimisha watu waende jeshi ati kujifunza uzalendo. Richard
Kiswahili, English au English /Swahili, then Computer literate.

Uzalendo waingia kulingana na mazingira na huwa sehemu ya progress yako kimaisha.
 
Hivi wewe na akili zako unaamini wanaonyimwa work permit ni wakenya Tu? That's not true

It's a standard practice, kuna positions hazihitaji tena foreigners

This is a standard practice dunia nzima

Msitafute huruma za social media, anayesaini approvals keshakataa
 
Ni lazima tuangalie kwa nini hizo kampuni ziko after Kenyans,sisi watanzania tumekosa nini..kisha tupandikize hizo qualities kwetu Tanzanians..badala ya kulaumu...mojawapo nacchohisi mmetupita ni level ya English na Computer use..sidhani kwenu Kenya mnalazimisha watu waende jeshi ati kujifunza uzalendo. Richard

nenda china ukashangae kwanini wanapiga ban mitandao ya nje kama fb,insta nk lakini wanaruhusu uwekezaji wa viwanda kutokea nje.

haya mambo ukiwa unayaangalia kivivu vivu unaweza dhani watu wana rohoza korosho,kumbe huelewi kitu.
 
Back
Top Bottom