Watanzania kwenye Forbes Africa 30 under 30

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,629
2,457
00331875:4439d1c6f0e0de70f6fc7fb72b258ff5:arc614x376:w285:us1.png


Edwin Bruno anamiliki kampuni ya Smart Codes maarufu kwa kutengeneza App ya M-Paper ambapo unaweza kununua magazeti kwenye simu.

Hellen Dausen alikuwa Miss Universe Tanzania 2010 na sasa ana kampuni ya vipodozi Nuya's Essence.

Two Tanzanians, Mr Edwin Bruno and Ms Hellen Dausen have made to the list of Forbes Africa 30 Under 30 as the most promising entrepreneurs from around the continent.

The young entrepreneurs who made it to the list are believed to have the potential to get on the FORBES AFRICA cover, meaning they will have a net worth of not less than $200 million, employ thousands of people and help grow the African economy.

Link: http://allafrica.com/stories/201606010297.html
 
Tutachangia nini ndugu tunafukuzia bei ya sukari na lini tutaajiriwa.Wanaotafuta utajiri watapitia wanaotafuta ajira si uwanja mtamu huu.
 
Back
Top Bottom