Watanzania Kwa nini Tusife kwa Faida? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania Kwa nini Tusife kwa Faida?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shungurui, Dec 21, 2011.

 1. shungurui

  shungurui JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 1, 2008
  Messages: 1,587
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280
  Ndio,kama kufa tunakufa saaana tu mmoja mmoja au kwa wingi.

  Mv Bukoba nasikia ni zaidi ya mia tano(500+) walifariki,huko Zanzibar nao ni zaidi ya elfu moja na ushee(1000+)
  Haya wa bodaboda usiseme,mara mama mjamzito kafia hospitalini akijifungua, kwenye migodi kafa kwa kupigwa risasi na polisi

  Hivi mpaka Tuishe? Kwanini tusife kwa faida kama kenya ili yaishe,

  wenzetu wa kenya wamekufa mia nane tu (800 + na ushee) wa kapata katiba yao ya wananchi
  wakati sisi ni zaidi ya hapo na bado tunaendelea kufa tu mpaka lini? Na tunao kufa ni sisi walala hoi,wao wanajifungulia ulaya,usafiri wao ndenge si mnaona wenyewe baada ya kuchakachua kura zetu wanaenda kupumzika ulaya, inatosha Tufe kwa faida.

  Watanzania ni wakati sasa wa kufa kwa faida ya kwetu sisi na ya vizazi vijacho

  AU manataka tufikishe idadi gani? sasa basi inatosha watanzania wezangu. halafu mafuriko ndio kama hivo tena, sasa sijui yataongeza idadi gani?
   
 2. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kufia nchi si jambo rahisi kama unvyorahisisha na wala si jambo la kuhamasishana kirahisirahisi hivyo! inahitajika imani, dhamira binafsi na nia ya dhati kwa mhusika katika kutekeleza tendo hilo!

  si lazima mfe kundi (wengi) eti ndo mtaleta mabadiliko! hapana mfia nchi (wafia nchi) huwa hawajali idadi yao katika kutekeleza malengo yao ya kuipigania nchi hadi kifo.

  angalia wazee wetu akina mkwawa, kimweri, abushiri, hassan makunganya, mkomanile, selemani mamba n.k hawa hawakusubiri idadi ya watu iongezeke katika kuipigania nchi.

  mwangalie kijana boziz mohamed wa tunisia, huyu hajasubiri vijana wenzie wamuunge mkono katika kutekeleza imani yake!

  my take... usitusubiri sisi, waweza tekeleza peke yako na historia ikaandikwa!
   
Loading...