Watanzania kuuana - Kisa fujo za barabarani KUNAASHIRIA nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania kuuana - Kisa fujo za barabarani KUNAASHIRIA nini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DoubleOSeven, Jan 29, 2010.

 1. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa wale mliofuatilia lile tukio la huzuni wikiendi iliyopita ambapo Mtanzania mwenzetu, hayati Sweti alikumabana na mauti kwenye mikasa ya ukatili uliofanywa dhidi yake na Askari jeshi ambao pia ni Watanzania mwaweza kumbuka pia matukio ya aina hiyo yanayotokea sana katika barabara za Dar es Salaam.

  Uendeshaji wa hovyo hovyo wa madereva wengi ambao hawajali wenzao kwa namna yoyote ile. Yaliyomkuta hayati Ditto pale Kawe hayana tofauti sana na haya. Yeye Ditto alikuwa askari jeshi mstaafu, na kwamba baada ya kukasirishwa na RAIA basi akamuulia mbali kwa kibastola chake. Hata kama nae alichomekewa, basi yule RAIA alikuwa kama kinyama fulani vile cha kujaribia shabaha.

  Tafsiri yangu ya matukio ya namna hii ni kwamba JAMII imepandikizwa iliyokithiri. Mijitu ina hasira kweli kweli. Chokoza uone! JEE hizi chuki zina uhusiano wowote na PRESHA ya kuishi hapa BONGO? Yaani Wabongo wamechoka na mambo ya HOVYO HOVYO yaliyokithiri katika uendeshwaji wa nchi yao na BOILING POINT inakaribia.

  Any comments?
   
 2. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,525
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Wana magari lakini wanashindwa kulipia BIMA, pia Mh. Chenge alikuwa anaendesha gari bila bima.

  Nchi zingine watu wanabamiza magari makusudi bima iwapatie gari jipya, huku TZ lazima mtu arushe ngumi maanake hata bima ya 'rangi ya gari' hana.
   
 3. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  issue aint that!!!! rather, whether Bongolanders are that frustrated by mambo ya hovyo to the extent of venting out on themselves....and mambo ya hovyo hovyo is up to interpretataion! far from parochial thinking, one being failure of rule of LAW and ORDER!
   
Loading...