Watanzania Kushirikiana Na Wamarekani Ni Dhambi?

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Flag-Pins-Tanzania-USA.jpg
Our Crossed Flag Pins – symbols of solidarity with a powerful message!

WanaJF naomba kujua hivi Watanzania kushirikiana na Wamarekani ni dhambi?

Nawasilisha
 
Hakuna tatizo, ila tatizo ni malengo ya huo ushirikiano.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kwa wazee kama mimi watakumbuka msaada wa unga wa maziwa ya unga kwa mashule (kama sikosei mid 60s) kulikuwa kuna bendera hiyo na mkono mweusi na mweupe inasabahiana. Si jambo geni hilo.
 
uji wa bulgar toka US??? ha ha haaaa niliunywa sana nilipokuwa chekechea
 
Kwa wazee kama mimi watakumbuka msaada wa unga wa maziwa ya unga kwa mashule (kama sikosei mid 60s) kulikuwa kuna bendera hiyo na mkono mweusi na mweupe inasabahiana. Si jambo geni hilo.
<br />
<br />Uzee uutoe wapi ff? We sema umehadithiwa au umeona kwenye picha. But am not concuring with u. Thats very true!
 
Hakuna faida yoyote ile, wanatutegemea sisi tuwanyamazishe watu wa dini fulani ili wasinanihii. Wanataka tuwakandamize nanihii, ili nchi yao iwe na nanihii.
 
uji wa bulgar toka US??? ha ha haaaa niliunywa sana nilipokuwa chekechea

Dongo kwa Nyerere hilo karusha huyo, mwelewe!!! :)

Btw, bulgar ilikuwa early 80s bana, nakumbuka kwenda kupanga foleni kusubiria mgao kutoka kwenye lori...
 
kushirikiana katika mambo gani? Wamarekani wajanja sana yatupasa tuwe makini!
 
Kwa wazee kama mimi watakumbuka msaada wa unga wa maziwa ya unga kwa mashule (kama sikosei mid 60s) kulikuwa kuna bendera hiyo na mkono mweusi na mweupe inasabahiana. Si jambo geni hilo.

FF ndio kusema kumbe watanzania walianza kufaidika na wamarekani toka zama hizo?
 
Nchi ikishauzwa yote ndio utajua nini maana ya ushirikiano wa kinafiki. Siku zote hakuna urafiki wa Tajiri na Masikini kuwa makini tena USA!!! Tafakari Chukua Hatua Ndugu.
 
Hakuna tatizo, ila tatizo ni malengo ya huo ushirikiano.

Cha msingi ni sisi kujua malengo yetu au sisi kukataa au kukubali malengo yao?Kipi kiwekwe mbele.Manake ushirikiano wowote kuna kupokea na kutoa.
 
USA forever!

Nyani Ngabu hiyo forever,imekaaje ebu nifafanulie,manake toka mwalimu Nyerere kuanzisha mahusiano na Taifa hilo mwaka 1961 sasa yapata miaka 50 tuko nao kwenye mahusiano Je unamaana kuwa mwisho wa Taifa hili ndio mwisho wa Taifa la Marekani pia.?
 
Kwa wazee kama mimi watakumbuka msaada wa unga wa maziwa ya unga kwa mashule (kama sikosei mid 60s) kulikuwa kuna bendera hiyo na mkono mweusi na mweupe inasabahiana. Si jambo geni hilo.

From American people

Ah ah ah, aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibr, Julius Kambarage Nyerere Burito, aliupiga marufu. Inasemekana ule unga ungesababisha watoto kuwa mazezeta.
 
Back
Top Bottom