cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 84,988
- 136,482
uwiiiiiiiih leo full burudani, nadhan hata uncle ameelewa kuwa mwanae na yeye hawapendwi.Lazima kuna kitu amekufanyia
uwiiiiiiiih leo full burudani, nadhan hata uncle ameelewa kuwa mwanae na yeye hawapendwi.Lazima kuna kitu amekufanyia
Na kweliAna dharau sana, amekosa hekima ya kiuongozi, ana sifa kupitiliza, haheshimu viongozi wenzake. Hafai kuongoza watu.
Anasahau kuwa uongozi ni dhamana, lazima kila unachoongea kiwe na mipaka. Hafai..View attachment 1512692
Akimaliza kuongea unahisi "huyu hakufunzwa na mamaye". Na hii nyongo ndio sababu kubwa ya shangwe tunazosoma mitandaoni.Na kweli
Vitu kama hivi ndo vinatoa watu nyongo
Dharau sana huyu jamaa
Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima
Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini?
kuruka na kukanyagana tyuuuh hakuna namnaNimeshangazwa sana kuangushwa kwa Makonda na wana ccm. Hata yeye mwenyewe ameshangazwa sana! Amesema kuwa jambo hili limemuumiza sana! Kiasi kwamba akasema kuwa anamuachia Mungu! Na akawa anajiuliza kwamba amekoswa wapi?
Lakini hili limenifanya nijiulize maswali mengi. Mojawapo haswa, ni hili la Makonda kusifiwa kwa uchapa kazi sambamba na boss wake! Hata alipokuwa akilalamikiwa na wapinzani, yeye alimwambia “nenda kachape kazi”. CCM wenyewe kuanzia waziri mkuu, makamu wa Rais na hata Bashiru, hawakuwa na sauti mbele zake, wala ushawishi zaidi yake mbele za boss mkuu!...
ujumbe wameupata kaka huna shaka kuhofia lolote lile ..watajuana wenyweSiyo "ku-influence" bali nimetoa rai kwa vikao vya juu viheshimu maamuzi yaliyofanywa na kikao cha mapendekezo cha wanaccm wa jimbo la Kigamboni
Swali fikirishi hivi mwaka huu wabunge wa kuteuliwa na mkulu watakuwepo?Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima
Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini?
Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa hadharani na Rais Magufuli aliyemteua na kumtaja kuwa ndiye mkuu wa mkoa bora kabisa hapa nchini na wakuu wa mikoa wengine, wanapaswa waige mfano wa uchapaji kazi wa huyo Paul Makonda, wanaccm wa Kigamboni waamue kumnyima kura?
Licha ya malalamiko mengi sana ya wananchi kuwa Mkuu huyo wa mkoa hafai na kumwomba Rais Magufuli atengue uteuzi wake...
Yes, hao wabunge wa kuteuliwa wasiozidi 10, wapo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa hiyo hilo halina shaka kuwa Rais ataitumia Katiba hiyoSwali fikirishi hivi mwaka huu wabunge wa kuteuliwa na mkulu watakuwepo?
Naoma kulike mara elfu mojaYaaaan leo nina furaha isiyo kifani na hailezeki, akafie kule huyu jambazi msieeeeeew zake.
weee acha tyuuuuuuh, town leo kupo OUKNaoma kulike mara elfu moja
Mzeee wa watu maskini khaaaaaah, huyu jambazi lazima alipe karma.Aiseeee!!!View attachment 1512752
Kweli kabisaNi ujumbe kuwa Makonda na Magufuli aliyemkumbatia muda mwingi tumewachoka.
Ndio maana Magufuli alihakikisha anasimama mwenyewe kwenye kura za maoni.
Angeacha kampenyo tu asingetoboa
Kama makonda naye ni mtu katika nchi hii Kama alivyokuwa kwenye serikali ya Magu ,basi sisi kuwa masikini Kama taifa na mtu mmoja mmoja ni halali yetu maana wote tutakuwa tu empty headsThe surest way to corrupt the mind of a youth, says Friedrich Nietzsche, is to instruct him to hold in high esteem those who think alike than those who think differently.
Paul Makonda is a kind of a person who think differently from the general public na kwa sababu Jamii imefundishwa kuiheshimu watu wenye maoni yanayo fanana na maoni yao kuliko watu wenye maoni tofauti basi automatically Makonda anajikuta anachukiwa na watu.
However, says Niccolo Machiavelli, it is better to be feared than to be loved.
Paul Makonda dont take it personal . The all hatred have nothing to do with you.
# Hating is a very easy way to do to a person that u cannot defeat.
The spirit of hatred dwells on weak people and cowards whichever comes first
Kwa mantiki hii mpango B unaweza kutumikaYes, hao wabunge wa kuteuliwa wasiozidi 10, wapo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa hiyo hilo halina shaka kuwa Rais ataitumia Katiba hiyo