Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

Kwa juhudi za nani sasa mimi huwa sina prejudice napenda kiongizi anayejihusisha na matatizo ya wananchi moja kwa moja, mambo aliyefanya Makonda yaliwashinda viongozi wengi tu na ndio point inayombeba hayo mengine mimi kama mwananchi wa kawaida siyajui, mimi nazungumzia uwezo wake wakufanya kazi na kusimamia haki katika jamii anayoiongoza.
Hana cha zaidi anachowazidi wengine. He is just average. Anabebwa na promo a.k.a. kiki na mbeleko ya mzee baba.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
We ndo unabwabwaja.
Kawaulize wakazi wa Chunya, Kagera, Mara na Tabora watakuambia Nsa Kaisi alikuwa ni mkuu wa mkoa wa aina gani.
Nitakushangaa sana kama unasema unazijua siasa za Tanzania wakati huwafahamu wazee kama hawa
Mkuu sijapinga, kwa kuwa wew unajua historia yake ni vyema ukatuwekea humu na sisi tupate kumjua vizuri maana siyo vibaya kujifunza.
 
Usiwape chochote kwa sasa mpaka baada ya vikao vya juu maana yule ni kipenzi cha Mwenyekiti wa hivyo vikao na ni homeboy. Awamu hii kila kitu kinafanikiwa kutokana na watu wanavyoamka siku ya tukio.
hata ila wajumbe wamejua kunifurahishaaa khaaah
 
Back
Top Bottom