Watanzania Kunyongwa Iran? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania Kunyongwa Iran?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichuguu, Jul 27, 2008.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Jul 27, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280


  [​IMG]

  Kumbukeni habari hii hapa.  Inawezekana kuna Watanzania watanyongwa huko Iran jumapili hii; je baada ya kunyongwa miili yao itasafirishwa kurudishwa kwa ndugu zao Tanzania? Kama ni hivyo, je ni nani atakayegharimia usafirishaji?
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2008
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Vijana wa bongo tuache mambo ya kibongobongo tunaposafiri nchi za watu,kuna watu ktk nchi zao hawajui longolongo.Ni kweli maisha yamebana sana,lakini unapoamua kwenda nje ya nchi kubangaiza basi fuata sheria/miiko/tamaduni za wenyeji wako ili angalau uwe salama.

  Wabongo tutageuza matumbo yetu mabegi mpaka lini?
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ndio ajira milioni 1 za Kikwete......
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kuna uwezekano mkubwa hao waliokamatwa ni watu wenye pasipoti za Tanzania na sio watanzania. Siku hizi Pasipoti yetu imekuwa kama njugu, inatolewa tu ovyo kwa hiyo hata wanigeria wanaweza kuipata na kudamge reputation yetu, lakini vilevile sikatai kuwa kuna mules kutoka tanzania wanaotumiwa. For sure walijua risk .hiyo kwa hiyo waliowatuma ndio watakaogharamia kurudisha miili yao, wao ni matajiri sio masikini they can afford. Na majina yao yako kwa rais kwa hiyo ni lazima walipe serikali isilipe
   
 5. M

  Mbeba Maono Senior Member

  #5
  Jul 28, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe ulitaka wafanywe nini wakati sheria za kule zinasema wanyongwe? wanatakiwa kuface the fact kwasababu kufanya tu hivyo wao wenyewe walikuwa wanajitoa muhanga kwamba lolote litakalotokea wako tayari, limeshatokea la kunyongwa, wao walikuwa tayari kwa hili kama wakikamatwa ndo maana walijilipua hivyo, sasa wewe unahangaika nini, au unafikiri utafanya nini ili warudi hai? wengine si ndo wale wa Mauritius ambao watapata kifungo cha maisha?
   
Loading...