WATANZANIA: kuna faida iliyopatikana kubadilisha mawaziri 2005 - 2014???!!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Naombeni msaada, nafanya utafiti yakinifu... Tangu JK aingie madarakani kuna mabadiliko ya mawaziri yanafanyika... kuna faida na tija kwa hii nchi?!!
 
Faida ipo,hasa kwa wale waliochaguliwa,maana wanakula bure,wanapata huduma zoooote,
ila kwa wapiga kura hakuna
 
Angalia objectives za kila wizara ,time frame na budget allocated!!!!!!
Then angalia reflections za hayo maneno ya vitabuni katika maisha halisi!!!!!

Hapo tunaweza kupata pa kuanzia bila kutaja majina ya watu sababu kama hayo hapo juu hayazingatiwi "majina" yatabadilika mpaka Yesu arudi mkuu!!!
 
Ni hasara kubwa sana ni sijui ni kwanini mheshimiwa Rais ajui hili wakati kasoma uchumi ? Poor country.
 
Kama tunabadili Mawaziri lakini hatuna Rais, faida itakuja vipi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom