MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 701
Hivi Tanzania kimpira tumelogwa na nani???? Hata Somalia inatuhangaisha! Vijana wetu wa kileo nini wanachokikosa kinachowafanya washindwe kucheza kandanda lenye akili??? Kina Mrisho Ngasa na wenzake yaani wanacheza makidamakida mle ndani.Wasomali waliopo vitani kwa zaidi ya miaka 20 wanacheza mpira unaonekana. Samahani lakini hili sio jukwaa la michezo.
Karibuni wadau tujadili
Karibuni wadau tujadili