Watanzania kila wakati tuwe tunamuombea Rais Magufuli

Kitikiti

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
353
249
Watanzania wote. Huu ni muda mzuri wa kumshukuru MUNGU na kumuombea Rais wetu tuliopewa na MUNGU.

MUNGU atufinyange kama apendavyo. Amfinyange Rais wetu.

Wapinzani wote tumsaidie kwa upendo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tusikatize juhudi zilizowekwa na Mungu. MUNGU IBARIKI TANZANIA. MUNGU MBARIKI MAGUFULI WETU. AMEN
 
Hebu thibitisha kuwa ni Rais tuliyepewa na MUNGU.
 
Mtu ameingia madarakani kwa kuiba kura nyingi namna hiyo bado unasema kachaguliwa na Mungu?

Ni sawa na keshokutwa CCM wanavyoenda kuiba kura ili Shein ashinde,baada ya kushindwa juzi kwenye uchaguzi. Teh...Teh...Teh

HII NCHI BANA.
 
......hujasema tumuombee Ikwa mugu yupi labda watu wangekuelewa Mungu wa mbimguni muumba mbigu na nchi anajua huyo raisi aliingia madarakani kwa kuiba kura sasa tumuombee ili kwanza asmehewe dhambi ya kuiba kura,? au kuuza nyumba za serikari?au kubomoa nyumba za walala hoi?!......
 
Wapinzani wapi hao watakao msaidia ?? Hawa hawa wanaowekwa ndani sijui kwa makosa ya kumpiga mama gani ila waliogushi hati ya zuio la mahakama wako tu hawajafanywa lolote ,
 
....Rais wetu tuliopewa na MUNGU.

.. aliletwa na Mungu yupi? Maana uchaguzi wenyewe ulijaa ushetani tele .. matusi ya nguoni kwenye majukwaa, ajali za kikafara, wagombea wengi kufa kiajabuajabu, kukata viuno majukwaani, n.k.
 
Mungu yupi huyu aliye HAKI na anaye furahia watu wake kuporwa HAKI zao?

Tusimfadhaishe Mungu kwa kuhalalisha UOVU kwa kulitaja jina lake kama kasuku.
 
Watanzania wote. Huu ni muda mzuri wa kumshukuru MUNGU na kumuombea Rais wetu tuliopewa na MUNGU.

MUNGU atufinyange kama apendavyo. Amfinyange Rais wetu.

Wapinzani wote tumsaidie kwa upendo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tusikatize juhudi zilizowekwa na Mungu. MUNGU IBARIKI TANZANIA. MUNGU MBARIKI MAGUFULI WETU. AMEN
AMEN
 
Back
Top Bottom