Watanzania kesho watashiriki uchaguzi mdogo wa kata 43

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Watanzania wenzetu kesho watashiriki uchaguzi mdogo kwenye kata 43,ni jambo jema tunawatakia uchaguzi mwema wenye mafanikio,tunachowaomba mkafanye uchaguzi kwa amani na upendo mkubwa bila kujali ni chama gani kitashinda, baada ya uchaguzi maisha lazima yaendelee kuna baadhi ya viongozi wanatamani jamii iparaganyike kwa masilai yao binfsi msikubali,ccm ikishinda sawa,chadema ikishinda sawa nia yenu ni moja maendeleo,lkn msikubali kuibiwa kura zenu pigine kura lindeni kura
 
Back
Top Bottom