Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
We jamaa aisee unazungumzia nchi ambayo aiwezi kushindana na bidhaa hata za Kenya kwenye unit costs.Hayo ya kodi yanajadilika ,Kuhusu ushindani hayo ni mambo ya biashara,afu sijui kama unajua uchumi,Rostam alienda kuwekeza Kenya no way out Tzn itanufaika isipokuwa host country kwa hiyo Mchina akiwekeza still wanufaika ni sisi sio China.
Wao faida yao ni kutafutia watu wao ajira na ile volume ya biashara baina ya Nchi ndio nchi itanufaika kwenye external trade
Kwa ivyo we unadhani hakina Bakhresa na wazalishaji wengine watakaa kimya wakati mshindani wao achezi fair kwa msaada wa serikali huku anaenda dominant soko na bidhaa zake; ilhali na wao wana madeni ya kulipa.
Anyway serikali iliyopita ilifanya ilichoona sahihi kwa maslahi mapana ya nchi; na mama nae atafanya anachoona sahihi.
Muhimu msipotoshe Magufuli alizuia bandari hayo si kweli.